Labda kama ameandikiwa jamani, lakini kwa akili na matendo ya Nape angeweza kuandika hivi basi tusingekuwa na mtu wa hovyo kiasi hiki.
 
Amesikika Nape Mosses Nnauye:

Screenshot_20230816-162345.jpg

Kwamba imemfikia na kuwa kachafukwa?

Kwamba yeye kama waziri siyo?

Beberu anasema:

"Who's next."

Yetu macho.
 
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai...
Very poor defence. No wonder wamewashikilia bila kuwaoeleka mahakamani wanatafuta namna ya kujitoa. Yaani Wambura na Kingai wamewaingiza chaka na kesi yao uchwara.
 
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai...
Geuka nyuma uone ulivyoyokwa jasho ukienda kumuona Mwamba akusamehe, leo hii na wew upo upande wao., haya bhana cheo ni DHAMANA.
 
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai...
Washikiriwe, wahojiwe, waadabishwe kwa kuwa asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na dunia.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai...
Slaa anyongwe haraka
 
Ya Magufuli yanaendelea!
 
Watu hao watatu waliohusika walikamatwa na Polisi kwa kutoa vitisho mahususi hadharani vya uhalifu mkubwa, ambavyo ni pamoja na kutaka kupinduliwa kwa nguvu kwa Serikali ya wakati huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watuhumiwa hao ambao baadhi yao walitaka hadharani kuhamasisha wananchi kubeba silaha dhidi ya Jeshi la Polisi Tanzania, walinaswa ili kutuma ujumbe mzito wa kuwazuia wahalifu kufanya makosa ya jinai.

Mbavu zangu eeh..! Wakili wangu nivumilie nicheke kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom