TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

Mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Lakini nikuambie tu ukweli kuna umri ukifika watu watataka waone maendeleo yako hapo sasa ndio kuna kizungumkuti
Sahihi kabisa, maisha yako ya uzeeni yataeleza watu kwamba ujana wako uliutumiaje. Mahangaiko ya mwanadamu akiwa na nguvu ni ili aweze kupata utulivu akiwa hana nguvu/uzeeni. Mdudu nyuki huwa anatengeneza asali ili imsaidie kama chakula kipindi miti haina maua/kiangazi, sasa ikiwa mdudu tuu anajua kufikiria kesho yake iweje kwa wewe binadamu?
 
Huo mzunguko wa hela mnadanganyana nao siku hizi kila mkoa upo.

Karibia 80% ya mzunguko wa pesa hapa Tanzania upo DSM.
Mtoa post embu pitia takwimu za national bureau of statistics uone takwimu za mkoa wenye unafuu wa maisha hapa Tz kabla ya kuja na hizo assumption.
Nimeishi karibia mikoa yote hapa Tz na hususani rural areas nilichogundua hata watu wengi wanaotoboa huko mikoani wanahamia dsm.
Kiufupi vijana wengi wa DSM wana nafuu ya maisha kulipo wa mikoani ndio maana hata asilimia kubwa ya vijana waliopo DSM ni wakuja kutoka mikoani kutokana na kukimbia shida za huko
Mfano juzi nilikuwa nafuatilia bei ya viazi ulaya njombe wanapolima beipo ya viazi bei ya gunia 180,000 lakini dsm 160000
 
Hawatuonei huruma bali wanatucheka kivile wao wanakula na kusazaa kingine wana wapa mbwa

Huwa sipendi mtu anae dharau kipato cha mwezake wengine mpo ivyo kwasababu baa zenu wamewatengenezea mazingira mazuri
Wewe baba yako alikuwa wapi wakati wenzake wakipambana kutengeneza life la watoto wao?
 
Pole sana utaumia bure!
Hebu iulize Serikali yenyewe na hao viongozi hadi mkuu pamoja na kupiga debe la Dodoma ulikotokea, mbona wako Dar kila siku kama sio wiki??!
Sawa wako vijana wengine Kwa kweli wanaishi maisha wayapendayo wenyewe wiki bila kuoga! Kula chips dume na energy!!
Haumii ameshauri. Hutaki acha hajalazimisha watu wauchukue ushauri wake.
 
Mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Lakini nikuambie tu ukweli kuna umri ukifika watu watataka waone maendeleo yako hapo sasa ndio kuna kizungumkuti
Exactly bro exactly [emoji817] mi mwenyewe Kuna ndugu zangu naona kama mababwa mi. Ni mdogo nawasalimia ila nawaona washenzi sana imagine at 48 huna nyumba,gari,hela,biashara

Upo upo tu kama li mbwa fulani hivi [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Unayosema ni ukweli kabisa kongole kwako
 
Naunga mkono hoja kaka angu ameingia dsm 1990 hadi leo hana hata baiskeli ...yaaan huwa najiulza mambo mengi sana
Looooh murife parakwingi ghaille kuna mtu kaingia 2008 saivi ana ingiza million 13 daily kkoo hivyo labda Mungu hakumpangia awe tajiri hahahahaha [emoji274]
 
Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kuhusu mambo wasiyoyafahamu, kwa watu wasiowajua.
Sasa kwa mtoa mada anaombwaje atoe ushauri humu JF? Unajuaje je, kuna watu walimuomba awashauri huko mtaani?

Nia yake ni njema, kutokana na kushuhudia na kuumia ameamua kutoa ushauri, kama mtu anajijua mhusika anaweza kuuchukua au kuuacha. Ni mawazo huru na si lazima.

Mtoa mada ni moja ya aina ya vijana tunaowataka kama Taifa kwa sababu ni wasema kweli. Kaongea ukweli tupu.
 
Achana na huyo fala hakuna anachojua anaongea anachoskia DSM IS NOT FOR EVERYONE
Mbona mnaumia mno? Nyie ni wahusika bila shaka.[emoji38] [emoji38][emoji38] jiwe la gizani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mkalime huko vijijini kwenu mikoani msije dhalilika uzeeni
 
Shida wanakalili yaani mtu huko mkoani akila ugali na mchicha bas anajua dar tuna angaika ugali kuupata mkuje dar muish wakau siku nne muone watu wa mkoani ushamba unawasumbua
Dsm kuna watu wanauza maji pale Kivukoni wanapata faida ya 2300 katoni

Akijitahidi auze 5 tu keshamzidi wa kijijini
 
Back
Top Bottom