TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,628
Reaction score
15,743
Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.

Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo

Jioni vijana wanataka wale starehe za Dar es Salaam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa.

Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Dar es Salaam utakuja kudhalilika
 
Back
Top Bottom