Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,932
Chuga huko bila shaka
🤣🤣🤣🤣Waje tule parachichi
🤣🤣🤣🤣Waje tule parachichi
MbeyaChuga huko bila shaka
Mmmmh, hapana hapafai hukoMbeya
😔🤔Mmmmh, hapana hapafai huko
Huko wachawi ni wengi na wengine tunao hapa hapa ktk jiji la Makala wanazidi kuroga watu.
Watu gani? Unaishi kwa niaba ya watu?Mimi nilikuwa na mawazo kama ya kwako. Lakini nikuambie tu ukweli kuna umri ukifika watu watataka waone maendeleo yako hapo sasa ndio kuna kizungumkuti
Sio kweli mkuu maisha popote instegemea shughuli unayofanyaKukaa jijini dar na kukaa mkoani ni magereza ila utofauti wa mikoani na dar ni rahisi kutoboa ukiwa dar kuliko mikoani kutokana na mzunguko mkubwa wa hela uliopo dar.
Ni kamaa mtu ana ndinga kali Hana nyumba au kama mtu anapendeza Hana ela au mtu ana geto Hana kitanda analala nje Kuna mtu anachafua meza ila Hana pa kulala hayo yote inategemea na priority ya mtuNipo daressalam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka dodoma kuja huku daressalam kushughulikia mambo yangu ya kikazi, nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4500 mpaka 7000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo jioni vijana wanataka wale starehe za Daressalam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa. Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Daressalam utakuja kudhalilika
We ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutiaKukaa jijini dar na kukaa mkoani ni magereza ila utofauti wa mikoani na dar ni rahisi kutoboa ukiwa dar kuliko mikoani kutokana na mzunguko mkubwa wa hela uliopo dar.