Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,404
- 100,603
Asante sana! Kumbe na Mimi bado ni kijanaUkiufika uzee ukawa huna pa kuishi Na nguvu huna uje kwenye huu Uzi usome ulichokiandika ujanani
Asante sana! Kumbe na Mimi bado ni kijanaUkiufika uzee ukawa huna pa kuishi Na nguvu huna uje kwenye huu Uzi usome ulichokiandika ujanani
Niko daressalam nimejioneaWatanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kuhusu mambo wasiyoyafahamu, kwa watu wasiowajua.
sitaki nihame haraka niende wapi bila mipango?Nipo daressalam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka dodoma kuja huku daressalam kushughulikia mambo yangu ya kikazi, nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4500 mpaka 7000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo jioni vijana wanataka wale starehe za Daressalam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa. Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Daressalam utakuja kudhalilika
Haha kutoboa dar ni kupata za kwenda kidimbwi labda.Kukaa jijini dar na kukaa mkoani ni magereza ila utofauti wa mikoani na dar ni rahisi kutoboa ukiwa dar kuliko mikoani kutokana na mzunguko mkubwa wa hela uliopo dar.
Just watch your stepsitaki nihame haraka niende wapi bila mipango?
Kabisa aiseeNa ndio wengi
Umejionea nini mkuu?Niko daressalam nimejionea
Haya niliyoyaandika leoUmejionea nini mkuu?
🤣🤣🤣🙌Huko wachawi ni wengi na wengine tunao hapa hapa ktk jiji la Makala wanazidi kuroga watu.
Kwani wapi nimesema hujaona? Umeelewa hata point zangu?Haya niliyoyaandika leo
[emoji28] jokes zingine hizi.Bora Yako wewe umejichimbia chaka minjingu huko ukichoma mkaa.
[emoji1][emoji1] hii comment imekaa kimkakati sana.Bora ugali dagaa mjini kuliko wali Kuku Kijijini.
Tupe uzoefu wako mkuu ili tujifunze kutoka kwako pia.Haha kutoboa dar ni kupata za kwenda kidimbwi labda.
Dar watu wanaishi kiujanja unja tu.
Naifahamu Dar vizuri sana.
Nipo Dar tangu 1994.
So nina uzoefu wa kutosha kuhusu fitina za Dar.
watch your self.Twabaki hapa kwa nyumba za urithi na mvua ikinyesha maji ya mvua na mifereji michafu yakutana na kuzama vyumbani.Karibu ktk jiji letuJust watch your step
😂😂😂 naishi dasalama🤣🤣🤣Wanalala kwenye box
Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.
Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo
Jioni vijana wanataka wale starehe za Dar es Salaam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa.
Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Dar es Salaam utakuja kudhalilika
Mkuu; Kwa kawaida muda haupotezwi hata siku moja ila muda unatumika vibaya. Mbona muda (Time) upo siku zote?Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.