We Jamaa una Uelewa Mdogo Sana kuhusu Maisha
Hapa DSM ndo Sehemu pekee Unaweza kutoboa Maisha endapo utawekeza akili na Muda vizuri
Umri kuwa mkubwa then hauna chochote haisabibishwi na kuishi mjini mfano Mimi nayachukulia Maisha katika uwanja wa kuishi katika Leo na sio kesho ambayo hujui Kama utaifikia ,
Akili yako usiifanye iwe Kama ya mtoto Mdogo ya kuamini Maisha ni lazima ujenge nyumba uwe na gari tu
Kuna watu pesa zao na Nguvu zao wamewekeza ktika kusaidia Yatima ,wajane ,wafungwa no
So ishi Maisha yako huko mikoani unapoona Maisha Ni mazuri nambie unamiliki kitu gani na umetoa Ajira kwa watu wangapi? Kama tu juzi Kati ulikuwa unalalamika Mama yako anakuomba pesa na huna , think twice sio unaandika Andika.