TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

TAHADHARI: Vijana wengi wanapoteza muda Dar es Salaam

We ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutia
Ha ha ha, niko hapa mbeya kwa mama chiku nimekunywa maziwa fresh na chapati mbili. Bill imekuja buku tu.nawaza ningekua dar hii bili ingekuja elfu 3 bila kukosea.
 
Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.

Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo

Jioni vijana wanataka wale starehe za Dar es Salaam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa.

Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Dar es Salaam utakuja kudhalilika
Umefikia Dar sehem gani?
 
YAANI KUKAA WIKI MBILI DAR USHAANZA NA KUTOA USHAURI KWA MALEJENDARI WALIOKAA DOWNTOWN HAPA MIAKA 40!! KIJANA RUDI DODOMA HARAKA KAENDELEE NA KILIMO CHA KUFA NA KUPONA.
Mna
Ungeendelea chunguza ungekuta baadhi yao 30-40 bado wanacheza na play-station
unakuta baba jitu zima linatembea linakula ubuyu
 
Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.

Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo

Jioni vijana wanataka wale starehe za Dar es Salaam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa.

Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Dar es Salaam utakuja kudhalilika
Aisee! Unataka kuniambia Dodoma vijana vibarua wanalipwa 10,000/= na zaidi! Iko hivi, katika maisha na utafutaji hilo lipo popote duniani!
 
Ungetoa Suluhisho Kwao nini cha Kufanya badala ya Kuwasimanga hivi ningekuona una Akili sana sana kwa Ulichokiandika hapa nakuona ni Mtu Mswahili, Mshamba wa Mafanikio ya Ghafla ( pengine ya Uchawi, Rushwa na Dhuluma ) uliyoyapata ( uliyonayo ) na una Dharau na Unafiki mwingi.

Hovyo kabisa......!!!!!!
Sijawasimanga wala kuwakejeli nimejaribu kuandika uhalisia wa kile nilichokiona na solution nimeitoa pale mwishoni kuwa kijana ulieko daressalam ukiona umefikisha umri wa miaka 35 mpaka 45 na ramani ya maisha bado haisomi hama daressalam kwanini nasema hivi, ukweli ni kuwa nguvu zitakapoanza kupungua utakuja kudhalilika
 
We ndio amna ktu unajua kwa dar ukiwa na buku labda ule mihongo njoo uku mikoan buku unakula wali na mchuz wa samaki unawekewa wa kutosha tu.. dar sio sehem sahii ya kijana kujtafutia
Kariakoo kunasehemu wanauza Ugali na mboga zake kwa jero tu.
 
Back
Top Bottom