khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,224
- 1,547
Piga kazi mzee, vijana wengi wa dar es salaam wanategemea urithi
Hataree😂😂😂 naishi dasalama
Twenzetu dasalamaHataree
Njoo unichukueTwenzetu dasalama
Andaa boksi la kulalia 😂Njoo unichukue
Uandae wewe utakayenichukuaAndaa boksi la kulalia 😂
Ungetoa Suluhisho Kwao nini cha Kufanya badala ya Kuwasimanga hivi ningekuona una Akili sana sana kwa Ulichokiandika hapa nakuona ni Mtu Mswahili, Mshamba wa Mafanikio ya Ghafla ( pengine ya Uchawi, Rushwa na Dhuluma ) uliyoyapata ( uliyonayo ) na una Dharau na Unafiki mwingi.Nipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.
Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo
Jioni vijana wanataka wale starehe za Dar es Salaam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa.
Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Dar es Salaam utakuja kudhalilika
sawa mama 😊Uandae wewe utakayenichukua
Sawa baba🥰sawa mama 😊
Mi nikajua baada ya utafiti wake atatoa elimu ya nammna ya kutumia pesa kulingana na kipato kumbe kakimbilia kuponda vijana wa dar inaonekana hata elimu ya matumizi ya pesa hajuiSawa baba[emoji3059]
😳Ngoja akuibukieMi nikajua baada ya utafiti wake atatoa elimu ya nammna ya kutumia pesa kulingana na kipato kumbe kakimbilia kuponda vijana wa dar inaonekana hata elimu ya matumizi ya pesa hajui
Shambani wakalimewaende wapi?
We **** nin Unafikil kila mtu anae kaa huku anateseka ukwel ni kwamba sehem yoyote ile ukiwa huna ishu lazima uone mambo magumu haijalish dar au wap ,,,Huo ushoga labda baba ako ndo shogaOna hii mbuz inayoish tabata haijawah hata kufka hapo gairo acha kukaril maisha ndio mana dar ushoga unashamil kulko mikoan kwasababu ya ugum wa maisha sio tabia wala homon utakuta umeliwa tacore il ulipiwe chumba kinondon miez sita wakat mkoan iyo kodi n ya miaka miwil kalien kukomaa na dar muone mspoishia kua ma chawa
Ona hili lofaBora ugali dagaa mjini kuliko wali Kuku Kijijini.
Ona hili jamaa, ivi Kuna binadamu asiyetaka maendeleo? Binadamu yupi anapenda umasikini. Poor people are still existing nimeamini yani JITU lina mawazo mgando kwanzia kwenye imani mpaka kwenye real life situationTatizo wabongo wamezidi kufuatiliana.
Tuseme mko sawa (for the sake of argument).
Hawa watu tuseme hawana maendeleo mjini.
Sasa kama mtu hataki kuona maendeleo yake mwenyewe, wewe mtu baki unataka kuona maendeleo yake ili iweje?
Kwani umeambiwa kila mtu anataka maendeleo?
Wengine wanataka maisha ya Dar tu, sasa hao utawalazimisha watake maendeleo kama unavyotaka wewe?
Ushauri sio mpaka uombwe, unaweza kumshauri mtu kwakuona aendako sio sahihi au ni sahihi, akikataa unaachana nae sio lazimaWatanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kuhusu mambo wasiyoyafahamu, kwa watu wasiowajua.
Ushauri wako ni mzuri,,sasa unawashaulije? (Suruhisho)