25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,773
umenishema mimi nafanya kazi sokota kwenye kiwanda cha nondo kutwa sh 8000 kazi ngumu moto mkali sanaNipo Dar es Salaam ni wiki ya pili sasa toka nimetoka Dodoma kuja huku Dar es Salaam kushughulikia mambo yangu ya kikazi.
Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda, vibarua wanavyofanya wanaishia kulipwa 4,500 mpaka 7,000 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo
Jioni vijana wanataka wale starehe za Dar es Salaam, mwisho kijana anabaki hana kitu huku akijipa matumaini ya ipo siku kutoboa.
Umri wa miaka 35 mpaka 45 unaona ramani haisomi hama haraka hapo Dar es Salaam utakuja kudhalilika
nauli kwenda na kuludi sh 1200
chai 1000
mchana 1500
maji 1000
salio 3700
bado familia inataka kula kodi ya nyumba kutibiwa kuvaa
nauli ya juludi kijiini kwetu sina umri wenyewe umesha nipa kwaheli miaka 40 sasa hehe hatari