Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,759
- 16,185
- Thread starter
- #341
nazungumzia upotezaji wa muda kwa maisha ya daressalamAisee! Unataka kuniambia Dodoma vijana vibarua wanalipwa 10,000/= na zaidi! Iko hivi, katika maisha na utafutaji hilo lipo popote duniani!