Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

Ankal si unakumbuka enzi zilee, mzembe nimeuza mpaka jinzi la skukuu ili sweetlady aende hewani halaf leo ngoma inakula kwangu? khaaa! hakyaPAW leo atalimwa mtu ban hapa.
Ankal sasa lyrics zote ulizonazo haujamwaga hata verse mbili au mambo ya studio uliyaacha
 
Waswahili wameloga ankal! sku hizi nikiandika verse nikifika beti ya pili tu macho yanapoteza nuru halaf naona sura kama ya mkapa inakuja kwenye giza la macho.
 
Namuona Fellow Tablet hapo chini anachungulia
 
Wewe na sweetlady si mmetoroka, Husninyo wenyewe wamemuhamishia hospitali ya rufaa msumbiji
heheeh halaf hii habari inaonekana wadada hawajaiamini bado au sjui skuifafanua vizuri, yaani mpaka mida hii sjapokea PM hata ya kizushi.
hii kashfa itanichafua kisiasa kloro.
 
Hommie apa nasoma sana katikati ya mistari....
Hommie usisome, Shem atakusomea bana.......

hahahahah.... Deep down i am just a woman shem....lol (alafu inachangiwa na the fact i know kosa ni kubwa mno... aka katoto haka!)
Sure, a woman is a woman and remains to be a woman!......... Am proud to be a man for if I was not a man I wouldn't have a chance to love women this way.....especially you my super darling shem.

aisee,nashukuru kaka. japokua nimepiga cha juu,lol
Where is my mawani when I need it the most?

basi kama ndo hivyo chukua yote yotee! ila nimesamehewa dhambi zote ama ile moja tu babu?
Mawani yangu jamani jamani jamani.........Kaizer, nisomee na kunitafsiria hiyo red hapo.......!

Tunaomba ushahidi wa cheti cha ndoa azawaizi hii ndoa haitambuliki kwa sheria za JF. Hivi unajua sweetlady kala vocha zangu kiasi gani? hapa fellow tablet aspirin atatoa ushuhuda.
Hahahaaaaaaaa hatimaye fellow tablet amefufuka kama alivyosema....Habari mpya ni kuwa, ule usoulmate wangu na Gaga umehamishia kambi kwa King'asti........ habari njema ni kuwa tayari ana kaujauzito ka miezi mitano kwahiyo nakusihi fellow tablet usikae mbali sana incase zarura ikiibuka.......... Gaga nimemkabizi kwa The Finest naye ajaribu bahati yake.
 
Rose sio bure... reading btn the lines yawezekana wee shahidi mzuri saana.... lol... Yee Bebii mbona haweki wazi alilokosea??

hahah hah ahhaaa..shahid asutwi wala hafungwi....raha tupu ingawa ata sjui nashuhudia nini ..ushabiki maandaz tu umenijaa ndg yangu..
 
Hahahaaaaaaaa hatimaye fellow tablet amefufuka kama alivyosema....Habari mpya ni kuwa, ule usoulmate wangu na Gaga umehamishia kambi kwa King'asti........ habari njema ni kuwa tayari ana kaujauzito ka miezi mitano kwahiyo nakusihi fellow tablet usikae mbali sana incase zarura ikiibuka.......... Gaga nimemkabizi kwa The Finest naye ajaribu bahati yake.
heheeh fellow tablet bana, senks for update acha niweke kwenye mafaili, hivi kumbe majeshi pia wanapata ujauzito? kumbe mwalim wa baioloji kanidanganya mbaya sana aisee.
 
Aisee! Kweli bebii kaniharibia siku ghafla. Sijawahi kutofautiana nae hata kwa bahati mbaya. Amenishangaza mno...na labda sasa ndo aje aniombe msamaha kwa hii sredi aloiweka hapa coz imeniharibia siku vibaya sio siri.

msamehe.
yaishe.
 
Hahahaaaaaaaa hatimaye fellow tablet amefufuka kama alivyosema....Habari mpya ni kuwa, ule usoulmate wangu na Gaga umehamishia kambi kwa King'asti........ habari njema ni kuwa tayari ana kaujauzito ka miezi mitano kwahiyo nakusihi fellow tablet usikae mbali sana incase zarura ikiibuka.......... Gaga nimemkabizi kwa The Finest naye ajaribu bahati yake.

Khaaa!!!! Mbona sielewi.... naomba NIELEWESHWE hapa!!! Dah!
 
heheeh fellow tablet bana, senks for update acha niweke kwenye mafaili, hivi kumbe majeshi pia wanapata ujauzito? kumbe mwalim wa baioloji kanidanganya mbaya sana aisee.
Hiyo AK47 ya kichina ni mkwala tu...........afu inawezekana mwalimu wako wa baioloji alikuwa bodigadi wa Gadafi....... kitu kama hicho kisikamate ujauzito unafanya masihara? Geti liko wazi, honi ya nini?
 
hahah hah ahhaaa..shahid asutwi wala hafungwi....raha tupu ingawa ata sjui nashuhudia nini ..ushabiki maandaz tu umenijaa ndg yangu..

Khhaaa!! Wee mrembo si utafungwa... kumbe ulikua hulewi ni nini....lol...Huyo Bebii she is just a kid lakini akili ya kiutu uzima....
 
Hiyo AK47 ya kichina ni mkwala tu...........afu inawezekana mwalimu wako wa baioloji alikuwa bodigadi wa Gadafi....... kitu kama hicho kisikamate ujauzito unafanya masihara? Geti liko wazi, honi ya nini?
hehee "ujanja wa chura kutroti bila bukta"?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom