Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

Umelisikia jibu kutoka kwa dada'ke?

well kumbe bado nami mtoto and if i hurt any of you, its the naivety in me :]

Gee, Bebii ni mtoto (pamoja na unaive wake) kwa kuwa anajina la kitoto (mambo ya kikubwa).

Sasa na wewe basi tukuite Totoo....lol! (then if you hurt anyone or 'steal' even from Bee you will be xcused)
 
Gee, Bebii ni mtoto (pamoja na unaive wake) kwa kuwa anajina la kitoto (mambo ya kikubwa).

Sasa na wewe basi tukuite Totoo....lol! (then if you hurt anyone or 'steal' even from Bee you will be xcused)

hahaha hata kama nna umri kama Kigagula na umbo kama tembo mtoto! ......
 
lol! afadhali bongo nyumba shurti no ndo na mawe, manake zingekua zile mobile house za kidhungu angekuta umeihamishia nyumba kiwanja cha kakako buyuni,akutafute hadi ashangae!
Afu wewe nimekununia. Sasa sijui unawahi nyumbani wapi....
 
heheeh sasa hapa vin diesel lazima igeuke petrol.
Endelea mama! wenye wivu hatukuwaleta sisi duniani! tuendelee na mahabbat soda yetu
Hahahaha! Naona wenye wivu washaanza kukodoa macho...lol ntaendelea kushusha mistari baadae..
 
ex wifi yake sweetlady bana!
nalog out sasa, part 2 ya titanic yangu na sweetlady itaendelea baadae. Mnaombwa kuhudhuria na kamera kutakuwa na picha za ukumbusho.
Yani dakika mbili tu nimeondoka tayari ushatawala jukwaa? Haya ondoka niachie ukumbi nami niambiwe I love you Asipirini......... Nikiambiwaga hivyo huwa naikumbuka ile siku niliyotahiriwa.........sijui ni nani aliwafundisha hawa mabazazi kuichojoa ngozi aliyoiweka Mwenyezi Mungu.....khaa!
 
lol! afadhali bongo nyumba shurti no ndo na mawe, manake zingekua zile mobile house za kidhungu angekuta umeihamishia nyumba kiwanja cha kakako buyuni,akutafute hadi ashangae!
Lol...na alaaniwe aliyegundua kujenga nyumba za nondo na mawe... Kaizer alinambia Asprin alirudisha zile glass za watu...kuna ukweli wowote hapo mke mwenzangu?..
 
Lol...na alaaniwe aliyegundua kujenga nyumba za nondo na mawe... Kaizer alinambia Asprin alirudisha zile glass za watu...kuna ukweli wowote hapo mke mwenzangu?..
Halafu wewe........... subiri dawa yako ichemke!
 
Halafu wewe........... subiri dawa yako ichemke!
Jamani, jamani, jamani...hivi siku hizi hata wajukuu watiifu wananyweshwa dawa?...babu kweli unazeeka vibaya. Hivi mimi na King'asti anaetakiwa kunyweshwa dawa ni nani?
 
Hahahaha....na watakonda sana...subiri modereta kloro arudi nimalizie verse ya mwisho....lol
Na aliyekudanganya atarudi hapa ni nani? Kwa taarifa yako amesharudi wodini na kishatundikiwa dripu ya kushusha munkari..........subiri uone kama unabisha!
 
Jamani, jamani, jamani...hivi siku hizi hata wajukuu watiifu wananyweshwa dawa?...babu kweli unazeeka vibaya. Hivi mimi na King'asti anaetakiwa kunyweshwa dawa ni nani?
Shhhhhhhiiiiiiiii! Taratibu.......... King'asti siku hizi ndo bibi yako, Gaga alinichakacua nikampa likizo siyo na malipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom