Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Afu wewe nimekununia. Sasa sijui unawahi nyumbani wapi....
Wangu,wajua kabisa kuwa ukinichunia utafanya maisha yuangu yawe magumu ....Nilitingwa na kazi na ndio narudi now...plz nipokeee.
Afu wewe nimekununia. Sasa sijui unawahi nyumbani wapi....
Hujanishawishi bado....Wangu,wajua kabisa kuwa ukinichunia utafanya maisha yuangu yawe magumu ....Nilitingwa na kazi na ndio narudi now...plz nipokeee.
Hujanishawishi bado....
bebii ni kati ya wana-JF wachache ambao nikisoma post zao hujiuliza ana umri gani?
loh sweet lady
dah ni shetani tu
ila nimesharudisha
sitorudia tena
ila kweli unafaidi loh?
Subiri hasira zikipoa ntakwambia...Niambie shida i wapi wangu...sema nami nitaweka mambo sawa...wajua sipendi kukuona upo down...
Subiri hasira zikipoa ntakwambia...
Wewe na sweetlady si mmetoroka, Husninyo wenyewe wamemuhamishia hospitali ya rufaa msumbijihapo mirembe umekosa?
heheeh halaf hii habari inaonekana wadada hawajaiamini bado au sjui skuifafanua vizuri, yaani mpaka mida hii sjapokea PM hata ya kizushi.Eeeeh!!! Kweli hii Chit chat.... Kloro Hongera saana bana.....lol
Hi,Klorokwin hujambo?habari ya mirembe?
Afu wewe nimekununia. Sasa sijui unawahi nyumbani wapi....
Lol...afadhali swahiba umerejea...si umemuona bebii anavyonzushia? Habari za utokako?Halaf wewe si nilikwambia ukitaka kuolewa unishtue tuje kujilipua cha mwisho? mbona umeolewa haukunishtua?, sweetlady ujue unatema big g....think! sweetlady think!
Nitokako ni poa tu, sasa hivi napost via bluetooth hapa kwenye ndege nikitokea kikao cha UN. Tumekubaliana kwenye kikao kwamba dola za zimbabwe zitolewe kabisa kwenye bureau de change. Na nimeipigia debe Tanzania tuanze kutumia euro, Kesho asubuhi watanionesha CNN ninavyomlalua ban kimoon laivu. uskoseLol...afadhali swahiba umerejea...si umemuona bebii anavyonzushia? Habari za utokako?
Kamanda vipi? waswahili wanasema vita ya panzi .......... ,lol...........
Halaf wewe si nilikwambia ukitaka kuolewa unishtue tuje kujilipua cha mwisho? mbona umeolewa haukunishtua?, sweetlady ujue unatema big g....think! sweetlady think!
Lol...afadhali swahiba umerejea...si umemuona bebii anavyonzushia? Habari za utokako?
nipe no yake basi
Tunaomba ushahidi wa cheti cha ndoa azawaizi hii ndoa haitambuliki kwa sheria za JF. Hivi unajua sweetlady kala vocha zangu kiasi gani? hapa fellow tablet aspirin atatoa ushuhuda.mkuu Kloro...hebu kuwa naheshima na mke wangu,utafanya nikatishe mafunzo huku israel nirudi kulinda ndoa.
Tunaomba ushahidi wa cheti cha ndoa azawaizi hii ndoa haitambuliki kwa sheria za JF. Hivi unajua sweetlady kala vocha zangu kiasi gani? hapa fellow tablet aspirin atatoa ushuhuda.