Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,304
Khhaaa!! Wee mrembo si utafungwa... kumbe ulikua hulewi ni nini....lol...Huyo Bebii she is just a kid lakini akili ya kiutu uzima....
A kid kwa tafsiri ya sheria za wapi?
Khhaaa!! Wee mrembo si utafungwa... kumbe ulikua hulewi ni nini....lol...Huyo Bebii she is just a kid lakini akili ya kiutu uzima....
Ni heri INNOVATOR watano kuliko nusu PAW. Jamaa anatisha kama Wassira.Hivi shem bado haijaja akilini kwako kua pale MMU, lile Bango la INNOVATOR Pale juu limefanya tuhamishie kambi huku?? lol
Hivi Fellow Tablet ni kwanini jibwa dume likijojoa shurti linyanyue mguu mmoja wa nyuma?hehee "ujanja wa chura kutroti bila bukta"?
Hili suali acha tumPM Dr Riwa aisee, lakini inawezekana ni gravitational force ya kiungo chake cha uzazi.Hivi Fellow Tablet ni kwanini jibwa dume likijojoa shurti linyanyue mguu mmoja wa nyuma?
Khhaaa!! Wee mrembo si utafungwa... kumbe ulikua hulewi ni nini....lol...Huyo Bebii she is just a kid lakini akili ya kiutu uzima....
Na za kiutu uzima zikizeeka zinarudi utotoni....(rejea za Aspirini)
Hiyo principle ilinishinda nakumbuka nlikuwa fom tuu B shule ya kata........nimeaply law of floatation bado sijapata jibu.........naambulia kuona jogoo likijojoa.......hivi FT unajua kuwa jogoo huwa linajojoa?.....Cheki na Sweetlady tulikuwa sote wakati tunafanya uchunguzi........ Angalizo: Jogoo linaongoza kwa ubakaji na kunajisi, mwambie sweelady avae jeans kabisa.Hili suali acha tumPM Dr Riwa aisee, lakini inawezekana ni gravitational force ya kiungo chake cha uzazi.
BTW umejaribu kuapply archmedes principle na haukupata jibu?
Ni heri INNOVATOR watano kuliko nusu PAW. Jamaa anatisha kama Wassira.
Hivi Fellow Tablet ni kwanini jibwa dume likijojoa shurti linyanyue mguu mmoja wa nyuma?
Na za kiutu uzima zikizeeka zinarudi utotoni....(rejea za Aspirini)
Name calling....hujasoma sheria za jf?Tunaomba ushahidi wa cheti cha ndoa azawaizi hii ndoa haitambuliki kwa sheria za JF. Hivi unajua sweetlady kala vocha zangu kiasi gani? hapa fellow tablet aspirin atatoa ushuhuda.
Bee mie naomba tafsiri ya utoto maana huwezi jua pengine na sie bado watoto tunajizeesha kwa ku-act responsibly bureeee!
A kid kwa tafsiri ya sheria za wapi?
Khaaa.... Source: klorokwini.Hiyo principle ilinishinda nakumbuka nlikuwa fom tuu B shule ya kata........nimeaply law of floatation bado sijapata jibu.........naambulia kuona jogoo likijojoa.......hivi FT unajua kuwa jogoo huwa linajojoa?.....Cheki na Sweetlady tulikuwa sote wakati tunafanya uchunguzi........ Angalizo: Jogoo linaongoza kwa ubakaji na kunajisi, mwambie sweelady avae jeans kabisa.
Dah! ndo maana pilau la jogoo linakuwa na uchumvi uchumvi kumbe.Hiyo principle ilinishinda nakumbuka nlikuwa fom tuu B shule ya kata........nimeaply law of floatation bado sijapata jibu.........naambulia kuona jogoo likijojoa.......hivi FT unajua kuwa jogoo huwa linajojoa?.....Cheki na Sweetlady tulikuwa sote wakati tunafanya uchunguzi........ Angalizo: Jogoo linaongoza kwa ubakaji na kunajisi, mwambie sweelady avae jeans kabisa.
Najua utabisha, lakini sheria za JF mimi ndo naweka saini ya mwisho. Nashangaa mpaka leo haujipendekezi kwangu!Name calling....hujasoma sheria za jf?
Shem sijui nikuamini ama nisikuamini.... si unaona Bht alivoongea hapa chini?? lol
hahahah.... No Comment... (naogopa)
I love you klorokwini.... Inatosha au niendelee?Najua utabisha, lakini sheria za JF mimi ndo naweka saini ya mwisho. Nashangaa mpaka leo haujipendekezi kwangu!
heheeh sasa hapa vin diesel lazima igeuke petrol.I love you klorokwini.... Inatosha au niendelee?
Aaaah unaogopa nini tena bi dada? Mods hawafikagi huku naskia!
i love you klorokwini.... Inatosha au niendelee?
Yaani wewe umeingiaje kichwani kwangu, najiuliza swali hilo hilo!
Gee, ngoja tusubiri dadaake ajibu, kisha tutaanzia hapo!
Hizi akili za huyu mtoto za kitu uzima hizi.....