Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

dunia ina fisadi, walimwengu tambuweni
hima wanajitahidi, kunipokonya mwandani
kwa hasira na inadi, na chuki za hadharani

wale walonikamia, nawambia wazi wazi
nyumba uloizowea, kuihama ina kazi

wassup ppl .......:]
 
acha kuigeuza JF kama jeshi bana, acha watu wachat kwa raha zao! Kama vp hamia hukoo kwenye thread ngumu ngumu, samtaim unabadir upepo bana!
Muulize yupo jukwaa gani?...story za kipuuzi afu kazisoma! Inahuu?..
 
dunia ina fisadi, walimwengu tambuweni
hima wanajitahidi, kunipokonya mwandani
kwa hasira na inadi, na chuki za hadharani

wale walonikamia, nawambia wazi wazi
nyumba uloizowea, kuihama ina kazi

wassup ppl .......:]
Wassup Gee....naona mistari bado yaendelea.....
 
Back
Top Bottom