Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

Umenishtua! Hebu waambie memba kuwa ulichoandika ni utani, vinginevyo unaemzungumzia hapa sio SL mimi! Sijawahi kutofautiana na wewe, sijaelewa unaomba msamaha kwa kosa gani.

Naona bebii anatafuta umaarufu kwa mgongo wako sweet
Msamehe tu akikua ataacha
 
SWEETLADY msamehe bebii jaman shetan alimptia

hatorudia tena...
samehe 7 mara 80...(THOU SJAJUA CHANZO CHA MTAFARUKU..bt stl m standing on peace making and conflict resolution.... by using chapter 6 of UN CHARTER..... msamehen jaman...bye.

nawewe upunguze ugomv bn uchokoz...uchokodhi sio mdhuri...rafik ananuna au kulia...rafiki akinuna au kulia ni mkosi mkubwa...POLE
Aisee! Kweli bebii kaniharibia siku ghafla. Sijawahi kutofautiana nae hata kwa bahati mbaya. Amenishangaza mno...na labda sasa ndo aje aniombe msamaha kwa hii sredi aloiweka hapa coz imeniharibia siku vibaya sio siri.
 
haya mama ila nimemkosea roho inaniuma

ulimkosea nini
najua ulitembea anga zake manake hilo tu ndo kosa,
mengine yote ni cha mtoto.
hebu sema mwanangu kama ni faini tukuchangie ili yaishe.
 
Kama sijui potezea mpendwa.

Hapa sweetlady atakuzungusha mpaka kesho.... Wee ongea vizuri na kaka... Hili suala analielewa... Unafikiri nini kajikausha hapa... Bliv me you Bebii kakukosea... And i know what....
 
ulimkosea nini
najua ulitembea anga zake manake hilo tu ndo kosa,
mengine yote ni cha mtoto.
Hebu sema mwanangu kama ni
faini tukuchangie ili yaishe.
mmmmmmmmmh hapo kwa faini tena loh? Keshanisamehe mama mpendwa
 
hapa sweetlady atakuzungusha mpaka kesho.... Wee ongea vizuri na kaka... Hili suala analielewa... Unafikiri nini kajikausha hapa... Bliv me you bebii kakukosea... And i know what....
mama weeeeeeeeeeeeee loh
 
Aisee! Kweli bebii kaniharibia siku ghafla. Sijawahi kutofautiana nae hata kwa bahati mbaya. Amenishangaza mno...na labda sasa ndo aje aniombe msamaha kwa hii sredi aloiweka hapa coz imeniharibia siku vibaya sio siri.

Tatizo hujaangalia jukwaa lenyewe ni la danganya toto kula kande mbichi.
Ila anatafuta umaarufu kwa mgongo wako sweet.
 
mke mwenza, kasamehe bure basi. unaharibu ur cute face. (kwanza nimepata zile glass kwa odm,ila usimuambie mtu manake sitarudisha ukumbini,lol)

Back
Top Bottom