Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

mbona anajitahidi sana? Kuchangia jf huku una pampas mwilini sio kazi rahisi my dear
ahahaaaaaaaaa na chupa ya maziwa mdomoni watoto wa dot com/kikwete sisi
 
Duh! Kwa kutumia muongozo wa comments za Gaijin na AshaDii, hatimae uelekeo nimeuona!
 
heheh ................maana sijui hata nianzie wapi. Labda hii

"ushoga una matata, katika hii dunia" ....by Malika :]

heheheee Gee mshushie Bebii mistari ya Bi Malika
 
Namaste yaar... missed you saana... Where the hell have you been??

nipo ... mara nyingi nakuwa jukwaa la sports kule , leo nimepata nafasi kuja huku kuwasalimia... check PM after 2min nikupe khabari
 
nipo ... mara nyingi nakuwa jukwaa la sports kule , leo nimepata nafasi kuja huku kuwasalimia... check PM after 2min nikupe khabari


Nataka nianze kupenda sports pia.... Kumbe upo... Arsene Wenger hajambo huko kwenye jukwaa lenu??
 
Nataka nianze kupenda sports pia.... Kumbe upo... Arsene Wenger hajambo huko kwenye jukwaa lenu??

hahaha! Arsene wenger kama kawaida weekends kule anakuwa amejaa tele!...

P.S > Ile project inakaribia kwisha .... with all do respect Didi aim sure i can beat you katika CHESS GAME we cha kufanya surrender your king & die with dignity ....
 
Bebii kwanini wataka niulia kipenzi changu?
Mbona wamrusha roho kiasi hiki
Ngoja niwahi nyumbani kumtuliza mama watoto.
Ndoa itayumba hii.
 
Bebii kwanini wataka niulia kipenzi changu?
Mbona wamrusha roho kiasi hiki
Ngoja niwahi nyumbani kumtuliza mama watoto.
Ndoa itayumba hii.
Afu wewe nimekununia. Sasa sijui unawahi nyumbani wapi....
 
Nilimuona mdogo wako juzi kati nikajua upo kifungoni... Hivi unafanyaga nini?? Akina nani hukuchanganya mpaka PAW anafanya kazi yake?? lol

Faiza woo! Cku ya tareh2 mwezi huu ndo alisababisha,hafai kabsa yule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom