Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

rose nisaidie tafadhali

SWEETLADY msamehe bebii jaman shetan alimptia

hatorudia tena...
samehe 7 mara 80...(THOU SJAJUA CHANZO CHA MTAFARUKU..bt stl m standing on peace making and conflict resolution.... by using chapter 6 of UN CHARTER..... msamehen jaman...bye.

nawewe upunguze ugomv bn uchokoz...uchokodhi sio mdhuri...rafik ananuna au kulia...rafiki akinuna au kulia ni mkosi mkubwa...POLE
 
Rose sio bure... reading btn the lines yawezekana wee shahidi mzuri saana.... lol... Yee Bebii mbona haweki wazi alilokosea??
 
I love a good gossip as much as anybody else ......

what did you take baby girl ......
 
Mods hii ni nini. Mbona watu wanageuza JF kama kijiwe cha kupiga stori zao za kipuuzi?

Mkuu mbona hili jukwaa ndio mahala pa stori!? Au unafikiri upo jukwaa gani? Hukupiga supu asubuhi nn?
 
I love a good gossip as much as anybody else ......

what did you take baby girl ......

As much as= although. Tukisema hizi story ni madudu mnaanza kukasirika. Kiingereza chenyewe mnaungaunga tu.
 
lakin msamaha wa adharan km almkosea hadharan pia unamata.

Kwani alimkosea humu au mtaani kwao?me nadhani angekodisha kipaza sauti halafu akaenda kuwatangazia mtaani kwao,hiyo ingefaa zaidi.
 
Umenishtua! Hebu waambie memba kuwa ulichoandika ni utani, vinginevyo unaemzungumzia hapa sio SL mimi! Sijawahi kutofautiana na wewe, sijaelewa unaomba msamaha kwa kosa gani.
 
umenishtua! Hebu waambie memba kuwa ulichoandika ni utani, vinginevyo unaemzungumzia hapa sio sl mimi! Sijawahi kutofautiana na wewe, sijaelewa unaomba msamaha kwa kosa gani.
sio utani sl sema hujui tu nimekukosea dah heri umekuja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom