Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,546
Shetani ametumika kama fursa ya kuingizia watu kipato na kutajirisha watu na mataasisi ya Dini (ukubali ukatae)
Nitatoa mfano
Kanisa langu la Roman Catholic miaka Ile ya zamani lilikuwa linauza bahasha za ondoleo la dhambi badae mambo ya kabadirika.
Ukija kwa walokole shetani anatumiwa kama fursa kweli kweli huko utaona kila aina ya utapeli wazi wazi.
utasikia mafuta,maji,mchanga,leso na sabuni za upako zinauzwa wazi wazi.
Huko kwa walokole sadaka zimerudi hadi kwenye mpesa utasoma maandishi yanapita kwenye screen toa sadaka yako kwenda mpesa No......Yas No..... Halopesa No....nk
Huko kwa walokole Kumuona nabii wao hadi hela tena ndefu. Kuombewa hela kama kawaida.
Kifupi shetani amegeuka kuwa fursa na viongozi wa dini wanashukuru mno uwepo wake.
Huko Saudia Kuna ujasiriamali umeshafanyika sema nikisema mtatukana sana lakini si nikweli mnauziwa mawe ya kumponda shetani kila mwaka na hafi au mnasingiziwa maana mie sijawahi fika?
Imagine Leo nimetulia zangu mahali anapita kijana mwenye nguvu zake anaanza kunitabiria eti kaonyeshwa unabii na Mungu juu yangu halafu utabiri umekaa kichawi tu baada ya kumaliza anaomba sadaka 😂
Eti natabiliwa Mungu atanipandisha kazi kwa wakati na hapa kazi nishaacha😂 hili tuliache.
Huwa najiuliza sana maswali kama shetani asingekuwepo ama asingeasi Hawa manabii sijui wangekula wapi maana utapeli unaofanyika ni kondoo pekee ndo anaweza nasa.
Fikiria Adamu na Eva hakuwa na dhehebu lolote wala hata Ibrahim na wengine wote wa zama hizo.
Sasahivi mikanisa imejaa kama uyoga.
SWali ni moja tu iwapo shetani asingelikuwapo tungeenda kusali makanisani na misikitini?