TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Chanika usishangae ukasikia ameonekana simba.
Mwaka 2009 kuna jamaa aliuwa Simba na kijembe cha kulimia mpunga, alimuokoa mjomba wake alidakwa aliopenda kupiga kojo choo cha nje.
Huko mbele ndani zaidi Dondwe Simba walikuwa wanamaliza ng'ombe wa mzungu mmoja Babu David Robertson R.I.P.
Karibu utembelee Dondwe ya sasa - kumekucha. Simba tunawasikia katika simulizi tu.
 
miaka ya 2000 nilikuwa masaki chole road nyumba za bandari kabla nilikuwa mbezi beach karibu na muarabu huyo mwamba simjui ila kama ni JF member its ok huenda ume edit mwanzo uliandika vibaya!
Mlipishana,washua wengi walianzia nasaki wakahamia mbezi beach miaka hiyo.wewe ukawa unatoka mbezi beach kuhamia masaki ingekuwa ngumu kumjua
Familia yao ilikuwa close sana na familia ya Reginald Mengi.
Na Steve alizaa na Carlo Ndossi
 
Nisingeona comment yako mrangi na ya Kiranga , nisingeamini kama huyu ni mtoto wa kishua wa DSM ya "90s.
Steve alikuwa mtoto wa kishuwa haswa,Steve alintambulisha kwa mama yKe ilikuwa mtihani mpaka mama yake kuja kunikubali ilikuwa si mchezo maana wengine shule ndy tulikuwa tunaonekana
Masela...
Na mwamba nlipokuwa shule nlikuwa narudi na za watoto wa kishuwa,nlikuwa sipandi basi mimi

Ova
 
Mzee Jacob Msaki hakuwa tofauti na wazazi wetu wengi wa rika lake,kama Steve alisomeshwa mpaka chuo kikuu na kuhitimu,akapata ajira wizara ya ardhi,yaliyofuata sidhani kama mzazi anahusika sana,wazee wa umri wa Jacob walifanana sana tabia
Steve shule ya msingi alikuwa mtoto mpole Sana full adabu
Geti kali ...ila badaye akaja kuja kuchangamka mpaka nkashangaa 😄

Ova
 
Karibu utembelee Dondwe ya sasa - kumekucha. Simba tunawasikia katika simulizi tu.
Miaka mitatu iliyo pita niliambiwa Nika angalie eneo la kununua MVUTI aisee tulipandishwa pili piki tukaenda mpaka MAGEREZA HUKO mpaka DONDWE
Kipindi hiko maeneo wanauza laki 4 nne eneo kubwa tuu na unalipa kwa awamu..

Sikununua kwa sababu ya uislamu mwingi kule na JAMII za kule nilisoma ni shida ni matatizo kulee
 
Kama vile baadhi ya wazungu wanavyohisi Afrika yote ni nchi moja na wote tunajuana.

Kuna mama mmoja Mjerumani nilikutana nae akaniuliza kama namjua rafiki yake anaetokea Afrika, akataja na jina kabisa. Nikamuuliza Afrika sehemu gani, akanijibu Senegal🤣
Kama vile watu wa mikoani walikua wakiona umetoka Dar wanakuulizia mtu fulani ulikutana nae huko Dar anaendeleaje wao wao walizani Dar nikama kijijini ambako population ya watu ndogo hivyo kukutana maeneo ya kilabuni ni lazima Hawakujua kama Dar ni jiji kubwa
 
Raisi wa pro max
Bado umeniacha labda akili haijatulia niko hapa nahuzunikia msiba wa Steve lakini pia nawaangalia wana wa mitaa yetu those days japo wamejificha kwenye Id fake

Ila ipo siku nikiwajua wote kwa majina halisi maana ID zao fake nimezikariri ,siku yakinishinda lazima niwatafute waniokote
 
Ma born town wengi wa Dar wanachoringia ni kuzaliwa na kukulia Dar ila ugali, mboga na kulala ni kwa mama. Kweli wakuja ni washamba ila walivyofika Dar wamechakarika na wengi kiuchumi wapo vizuri. Bora kuwa Bishoo wa Dar huku ukiiishi kwa kuunga unga na utapeli ama Mlugaluga ila shekeli unayo na unazidi kuitafuta? Vijana wengi maborn town kuanzia Knyama, Sinza, Migo migo wanaunga unga sana...
Wale wa Mbezi beach, Mikocheni, Upanga, Masaki na Obey wanaonekana wapo vizuri kwa kuwa wazazi wao bado wanawalea..
Wazazi wakitangulia ni kuuza mali na kutumbua maisha na zikishaisha ni mwendo wa kuombaomba. Vijana tujitume na kufanya kazi, Vijana ubishoo, ubrazamen na ubitoz sio maisha!
Mh haya bwana
 
Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia

Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba

Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile

Kote alikisoma iwe Forodhani primary, St Anthon, Dakawa High School, Tumaini University na wizara ya Ardhi, walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu

Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve MsakiView attachment 3291388
Apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom