Nyangema ni jina la ndugu zetu wa kanda maalum, Sasa walipofika mjini wakakataa kuitwa nyangema wakajipa majina Kam 2 pack, DMX, Jalule kwakuwa wanaswaga za kibitozi sorry kama wewe ni WA mwaka 2000 kunielewa kazi sanaTofauti ya Tozi nyangema na bishoo ni ipi mkuu 😂
Ha ha ha mimi Bobby ndio kabisaa simwelewi yes ile ni product ya Dakawa aisee labda ninyiHuyo huyo,yule ni muhuni anayejielewa,Nadhani kati ya marafiki wa marehemu Bobby ndio alikuwa zaidi ya rafiki,tangu 1998 Dakawa wako very close,miaka zaidi ya 25
Intake ywtu ya 1998 wengi tulikuwa wahuni sana,hata graduation harukufanya ,headmaster mzee Kijame aliogopa fujo.Ha ha ha mimi Bobby ndio kabisaa simwelewi yes ile ni product ya Dakawa aisee labda ninyi
Kaka nimezaliwa na kukulia hiyo Mbezi beach ila huyo mtu simfahamu......kifupi Mbezi beach kubwa saaaana siyo km mtaa wa Gerezani pale Kkoo.Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia
Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary, St Anthon, Dakawa High School, Tumaini University na wizara ya Ardhi, walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
MSalimie Babu Sikare😧
View attachment 3291388
Mbezi beach ni kubwa sana,Kaka nimezaliwa na kukulia hiyo Mbezi beach ila huyo mtu simfahamu......kifupi Mbezi beach kubwa saaaana siyo km mtaa wa Gerezani pale Kkoo.
Ha ha ha Bobby baada ya kumaliza form six badala ya kurudi Arusha yeye akaenda Dar moja kwa moja ha ha ha but its OKIntake ywtu ya 1998 wengi tulikuwa wahuni sana,hata graduation harukufanya ,headmaster mzee Kijame aliogopa fujo.
Bobby atalewa ,atabadili totoz ila ataheshimu kazi yake huo ndio uhuni wa maana
Arusha akafanye nini,alienda Dar dada yake amina Mongi akampa mchongo wakazi Clouds,English ilimsaidia,Ha ha ha Bobby baada ya kumaliza form six badala ya kurudi Arusha yeye akaenda Dar moja kwa moja ha ha ha but its OK
Apuzike kwa Amani Amina Mongi..... yes English yake ni nzuri kutokana na msingi wa Elimu hyake pia.Arusha akafanye nini,alienda Dar dada yake amina Mongi akampa mchongo wakazi Clouds,English ilimsaidia,
Hakuna mwana Dakawa kilaza,
Huyo demu naye amefariki,wamefuatanaDah Jamaa alikuwa akifika moro anaweka kituo kwanza anakuja baada ya siku kadhaa akiwa tungi. Palikuwa na girl mmoja mweupeeeee hivi mangi flan Jamaa alikuwa dem yake. Nasikia nae alipata shida hapo moro
Mach amekutwa amekufa kariakoo kwenye hotel nasikia japo sijajua ukweli ni upi bado.Huyo demu naye amefariki,wamefuatana
Oh basi kumbe nilikuwa na taarifa isiyo sahihi? Aliugua nn haswa ? Ila naye alikuwa mzuri sana yuleAmefia kijijini kwao baada ya kuugua kwa muda mrefu
YesNa wewe ulisoma Dakawa?
Kijame
Hahaha. Mlyuka nilisikia alienda VETAKijame alifariki mwaka juzi
Kasembe akaishia kuoa barmaid
Mlyuka english ilimpiga chenga sana
Madame minja nae yupo wapi? Hahahaha alimtesa sana bwana mrema marehemuHahaha. Mlyuka nilisikia alienda VETA
Kasembe alichukua mzigo bar hahahah