His Eminence
Senior Member
- Sep 22, 2024
- 183
- 467
Apumzike kwa Amani Steve Masaki stori zake Niko nazo toka 2000
Nilikushaur uwe una drink responsible mkuu...Bado umeniacha labda akili haijatulia niko hapa nahuzunikia msiba wa Steve lakini pia nawaangalia wana wa mitaa yetu those days japo wamejificha kwenye Id fake
Ila ipo siku nikiwajua wote kwa majina halisi maana ID zao fake nimezikariri ,siku yakinishinda lazima niwatafute waniokote
Nimekaa cell wiki zima bila kunywa ,kaka nilikuwa natetemeka kama jenereta la mjerumani .Nilikushaur uwe una drink responsible mkuu...
Rafiki wa kweli ni yule anae kufaa wakati wa shidaa .Nimekaa cell wiki zima bila kunywa ,kaka nilikuwa natetemeka kama jenereta la mjerumani .
Rafiki yangu mmoja alikuwa zamu siku hiyo akaniletea kakonyagi kadogo nahisi ilikuwa siku yangu ya kwanza kuhisi kuna watu wana roho nzuri zilizopitiliza .
Kipindi hiki Dakawa ilikuwa juu sana mkija shopping town tunapishana tuuu, bahati mbaya rangi za chini za uniform zilifanana kidogo na Forest Adv.Mwaka 2000 ndio tumemaliza nae Dakawa High School
HakikaRafiki wa kweli ni yule anae kufaa wakati wa shidaa .
Ahaaa tulikuwa juu sana,walipoigeuza kuwa ya girls tupu ikapoteza umaarufuKipindi hiki Dakawa ilikuwa juu sana mkija shopping town tunapishana tuuu, bahati mbaya rangi za chini za uniform zilifanana kidogo na Forest Adv.
Kazi kweli kweliKuna watu huwa wanafikiri watu wa Dar huwa wanafahamika nchi nzima
Nimeishi maisha alioishi Stive tena kwa miaka mingi. Nilipiga uturn japo kwa asilimia chache baada ya kupata ajira bank na yeye akaenda wizara ya ardhi, Regu akaenda ofisi ya mwanasheria Mkuu na Ben yeye aliamuaga kubaki mtaani. Muda wa kazi Tulikua tunavuka maji kwenda kunywa za bei rahis JeshiniSahihi,nadhani mimi ,wewena wengine tunaomfahamu tuna jesi ya kujibu kwa Mungu,yule akitakiwa apelekwe sobber house,ungemuona m6waka jana ungelia,alihitaji msaada wa mtu wa kumrudisha kwenye njia
Kesho anaagwa kanisa Mbezi chini kabla ya kilimacharainbow. Tutaonana wengiBado umeniacha labda akili haijatulia niko hapa nahuzunikia msiba wa Steve lakini pia nawaangalia wana wa mitaa yetu those days japo wamejificha kwenye Id fake
Ila ipo siku nikiwajua wote kwa majina halisi maana ID zao fake nimezikariri ,siku yakinishinda lazima niwatafute waniokote
Itakua tunafahamiana wewe jamaaMwaka 2000 ndio tumemaliza nae Dakawa High School
Flavi wa Mbezi?Ratiba ya msiba ikoje tukamuage steve msaki.
Watoto wa Tumaini university. St.Anthony. Machizi wake wa IFM wengi sana. Mbezibeach steve hata angegombea udiwani angepata alikuwa mtu wa kuche7ka na watu sana.
Wizara ya ardhi bado wanamkumbuka kwa ucheshi wake .
Pole nyingi baby mama zake Carol Ndossi na Flavia .
Bwana ametoa na ametwaa jina lake lihimidiwe
Lakini ujue pía kuacha ni maamuzi zaidi ya mtu kuliko kupewa maneno mengi. Nilikuwa hukoIyo aya ya mwisho Ina itaji kua committed to the maximum.. Asante ntajaribu kuzungumza nae.
mabange ?Rip steve master msaki yanki mmoja wa kishua ila alikuwa anaishi maisha yake ya kawaida.
Mzee msaki alikuwaga meneja mkuu Tisco na wameishi masaki karibu na shopperz magorofa ya Tisco
Wameanza kula maisha enzi za mwalimu. Mama msaki alikuwa boutique mtaa wa azam mjini alikiwa anajipenda masaki ile ukitoa mama mercy mengi wakipita ndani.ya.gari.unasikia. perfume mtaa.mzima na yeye mama msaki.
Pia steve. Ni baba wa mtoto Carlo ndosi mabange.
Sasa mkuu uliwezaje kutoka huko maana..unakua kwenye point ya kupoteza mwelekeo na kila kitu ulicho kipigania/ pambania maishani..Lakini ujue pía kuacha ni maamuzi zaidi ya mtu kuliko kupewa maneno mengi. Nilikuwa huko
Hii ilikuwa baada ya baba yake kuanza madudu katika familia.Steve shule ya msingi alikuwa mtoto mpole Sana full adabu
Geti kali ...ila badaye akaja kuja kuchangamka mpaka nkashangaa 😄
Ova
Sobber house ndio suluhishoSasa mkuu uliwezaje kutoka huko maana..unakua kwenye point ya kupoteza mwelekeo na kila kitu ulicho kipigania/ pambania maishani..
Mfano mtu Kama chid Benz, Jos mtambo, dulayo e.t.c Nazungumzia watu walio Katika stage Kama hiyo yaan.
Nawaza mdogo angu anatokaje kwenye hilo shimo gumu na baga alilo jiingiza unaweza ku share ulitumia mbinu gani?!
Kuna vitu vinachekesha,Diamond ana bifu na baba yake kisa alimtelekeza,at the sane time na yeye anatelekeza na kuzaa ovyo ovyo.Hii ilikuwa baada ya baba yake kuanza madudu katika familia.
Rahisi sana wazazi kuwaharibu watoto wao kwa vitendo vya ufuska, na huku wakimwona mama yao akimlalamikia sana baba yao.