TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

daah nilivoona ratiba tu nikajua huu msiba lazma utakuwa wa kishua apo utakuta fulu mapambio wiki nzima kula kunywa na kusaza... huku kwetu hatunaga mambo haya ni fulu mkuku ratiba anakuja nayo mjomba hamjakaa sawa mnaenda kuzika mkirudi hom ni kula tu hlf kila mtu anatawanyika.

rip mwamba
 
Back
Top Bottom