TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Ma born town wengi wa Dar wanachoringia ni kuzaliwa na kukulia Dar ila ugali, mboga na kulala ni kwa mama. Kweli wakuja ni washamba ila walivyofika Dar wamechakarika na wengi kiuchumi wapo vizuri. Bora kuwa Bishoo wa Dar huku ukiiishi kwa kuunga unga na utapeli ama Mlugaluga ila shekeli unayo na unazidi kuitafuta? Vijana wengi maborn town kuanzia Knyama, Sinza, Migo migo wanaunga unga sana...
Wale wa Mbezi beach, Mikocheni, Upanga, Masaki na Obey wanaonekana wapo vizuri kwa kuwa wazazi wao bado wanawalea..
Wazazi wakitangulia ni kuuza mali na kutumbua maisha na zikishaisha ni mwendo wa kuombaomba. Vijana tujitume na kufanya kazi, Vijana ubishoo, ubrazamen na ubitoz sio maisha!
Povu la nini kwenye msiba?
Hapo mabishoo wanaongelewa hapa unajua wako wapi miaka ya leo,
Umesoma marehemu alikuwa anafanya kazi wapi?

RIP
 
Kama vile baadhi ya wazungu wanavyohisi Afrika yote ni nchi moja na wote tunajuana.

Kuna mama mmoja Mjerumani nilikutana nae akaniuliza kama namjua rafiki yake anaetokea Afrika, akataja na jina kabisa. Nikamuuliza Afrika sehemu gani, akanijibu Senegal🤣
Ndivyo inavyopaswa kuwa.

Afrika inapaswa kuwa nchi moja
 
Uzi wa taarifa ya msiba umekuwa Uzi wa majungu, kukashifiana na kutoana akili......

Kuna watu wakisikia neno " Watoto wa mjini " wanashikwa na hasira sana sijui kwanini Hilo neno linawakera......utawasikia hao watoto wa mjini wana nini.....??

Jamani "Watoto wa mjini" ni neno tu la mikogo na sio kumkebehi mtu......

Kwenye maisha kupata na kukosa ni mipango ya Mungu pamoja na juhudi za mtu binafsi yoyote........

Wapo watu wengi waliokuja mjini na maisha yakawashinda pamoja na kupambana na wameamua kurudi makwao.....na wapo wengi waliokuja na Mungu akawanyooshea

Pia wapo "Watoto wa mjini" waliofanikiwa na wengine ndio hivyo wanabangaiza........

Ujinga na upumbavu kwenye maisha hauna kwao.....na wakati mwingine kuna kuteleza kwenye haya maisha na unajikuta unarudi ulipotoka......

Inapokuja taarifa ya msiba basi uungwana ni kumtakia kheri marehem huko aendapo mpendwa wetu na sio tena kuzuka kijiwe cha zogo na masimango kwa marehemu......

Tujifunze kustiriana na sio kuvuana nguo na kumwagiana aibu...... japokuwa tunatumia utambulisho bandia lakini nafsi zetu sio bandia......

Wabillah tawfiq......🙏
 
RIP STEVE.
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI (mauti ya pili ya MBINGUNI).

VIJANA HAKUNA FAIDA YA..

1. Bettings.
2. Wanawake.
3. Club.
4. Shisha.
5. Bange.
6. Unga.
7. Pombe

Biblia inasema wenye matendo haya hawataingia ufalme wa Mbinguni
1 Wakorinto 6: 9-10
.
 
RIP STEVE.
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI (mauti ya pili ya MBINGUNI).

VIJANA HAKUNA FAIDA YA..

1. Bettings.
2. Wanawake.
3. Club.
4. Shisha.
5. Bange.
6. Unga.
7. Pombe

Biblia inasema wenye matendo haya hawataingia ufalme wa Mbinguni
1 Wakorinto 6: 9-10
.
Nasikia Nabii Musa ametinga kwenye 18 za Mange sasa angalia na wewe usihubiri injiri hapa kumbe mchafu kwelikweli.
 
Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia

Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba

Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile

Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu

Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Mleta mada Dakawa High School ni shule ya wasichana aliyesoma marehem steve. Hii shule imerithi majengo ya wapigania uhuru wa south Afrika. Ipo Morogoro
 
Msaki kama msaki...simjui ila jamaa inaonekana alikua humble...and down to earth...kila mwanadamu hufanya makosa...na ni MUNGU tu atakaye mhukumu!

Ampumzishe kwa Amani...Maana Vumbi na Majivu ni ya upande wetu...Ash is Tha Ash and Dust to Dust!

MUNGU Utusamehe
 
Uyo alikuwa tozi nyangema siyo bishoo inakuwaje unakosa picha yake
1549392371181.jpg
 
Ratiba ya msiba ikoje tukamuage steve msaki.

Watoto wa Tumaini university. St.Anthony. Machizi wake wa IFM wengi sana. Mbezibeach steve hata angegombea udiwani angepata alikuwa mtu wa kucheka na watu sana.

Wizara ya ardhi bado wanamkumbuka kwa ucheshi wake .

Pole nyingi baby mama zake Carol Ndossi na Flavia .

Bwana ametoa na ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Wewe mkuu kidogo unaijua historia ya kijana Steven Msaki.
Baba yake Jacob F Msaki akilukwa Mkurugenzi Mkuu wa TISCO . Cheo alichopata kiujanja ujanja. Mimi niaifahamu historia yake.
Kijana Steven anazaliwa tunamwona, cha kusikitisha baba yake hakuwa mtu wa ustaarabu kimaisha na kikazi na amedhulumu watu wengi licha ya kutoihudumia familia ipasavyo.
Mke wake Jacob Msaki mama yule alipitia mateso mengi kimaisha.
Wafanyakazi kampuniya TISCO wengi walitapeliwa mafao yao.
Kujito kimasomaso Jacob Msaki aliwapeleka watoto Marekani na yeye kukimbiloa Dubai.
Maisha hayakuwa mazuri sana , mke yuko Dar watoto USA na yeye Dubai. Watoto kama Steve hawakupata matunzo ipasavyo, hivyo ikawa pombe mtu.
Naye Msaki huko Dubai maisha hayakuwa mazuri, akaugua na kurudishwa Muhimbili alipofia. Mke naye akaugua kwa kukosa matunzo na hatimaye kufariki.
Kijana Steven amefariki kwa frustration za kimaisha. Laiti mzee wake angemweka sawa kimaisha angeendelea vizuri.
Nimeeleza mambo yajuu juu tu, kuna mazito mengi.
Tumwombee Mungu ,kijana Steve apumzike kwa amani.

SOMO: Vijana katika hali yoyote, umasikini au utajiri, tunza upendo kwa familia yako.
Mkuu former employees wote wa Tisco wanamlalamikia marehemu Mzee Jacob Msaki.

Mzee Ruganyoisa naye analalamika. Coincedence moja ya ajabu na.inaweza ikatoa majibu ni.kwamba aliyekuwa anarekebidha na kubinafsisha mashirika ya umma mzee Rubambe alikuwa swahiba.wake mzee msaki na nyumba zao zinashare ukuta.
 
Msaki kama msaki...simjui ila jamaa inaonekana alikua humble...and down to earth...kila mwanadamu hufanya makosa...na ni MUNGU tu atakaye mhukumu!

Ampumzishe kwa Amani...Maana Vumbi na Majivu ni ya upande wetu...Ash is Tha Ash and Dust to Dust!

MUNGU Utusamehe
Unajua kiukweli jamaa alikuwa humble sana nikikwambia famulia yao ilikuwa na urafiki wa karibu na familia ya Reginald Mengi,mke wa mengi na mama yake steve walikuwa narafiki sana
 
Back
Top Bottom