TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Kuna watu huwa wanafikiri watu wa Dar huwa wanafahamika nchi nzima
Kama vile baadhi ya wazungu wanavyohisi Afrika yote ni nchi moja na wote tunajuana.

Kuna mama mmoja Mjerumani nilikutana nae akaniuliza kama namjua rafiki yake anaetokea Afrika, akataja na jina kabisa. Nikamuuliza Afrika sehemu gani, akanijibu Senegal🤣
 
Kuna siku nimekaa na wadada wa Dar wawili wanapiga umbeya wao kuhusu mdada mwingine inaoenekana ni maarufu Dar wao kama vile wanamfahamu personally kiundani, sasa wanataka na mimi nichombeze story yao kama vile namjua nikabaki nimekodoa macho na kuduwaa tu.
 
Back
Top Bottom