Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,894
- 45,052
Matajiri wa Mbezi Beach miaka hiyo nami nimekumbuka jina la mzee wake tu..Yeah jina km nalikumbuka hv
Matajiri wa Mbezi Beach miaka hiyo nami nimekumbuka jina la mzee wake tu..Yeah jina km nalikumbuka hv
Hahahaha ngoma Moshi hyMchaga unategemea azikwe wapi?
Kudadeki zake huyo mama.Kama vile baadhi ya wazungu wanavyohisi Afrika yote ni nchi moja na wote tunajuana.
Kuna mama mmoja Mjerumani nilikutana nae akaniuliza kama namjua rafiki yake anaetokea Afrika, akataja na jina kabisa. Nikamuuliza Afrika sehemu gani, akanijibu Senegal🤣
Hiyo itakuwa kampani moja na Mzee Kimambi.Matajiri wa Mbezi Beach miaka hiyo nami nimekumbuka jina la mzee wake tu..
Hivi huwa mnadhani wazungu wanajuwa kila kitu?Kudadeki zake huyo mama.
Waafrika wengine wanadhani hata mungu ni mzungu.Hivi huwa mnadhani wazungu wanajuwa kila kitu?
Sawa sawa Wazee wa zamani walikua watata sana..Hiyo itakuwa kampani moja na Mzee Kimambi.
Ma born town wengi wa Dar wanachoringia ni kuzaliwa na kukulia Dar ila ugali, mboga na kulala ni kwa mama. Kweli wakuja ni washamba ila walivyofika Dar wamechakarika na wengi kiuchumi wapo vizuri. Bora kuwa Bishoo wa Dar huku ukiiishi kwa kuunga unga na utapeli ama Mlugaluga ila shekeli unayo na unazidi kuitafuta? Vijana wengi maborn town kuanzia Knyama, Sinza, Migo migo wanaunga unga sana...Ulikuwa kizuramimba miaka hiyi.
Dar zamani tulijuana mabishio wote kabla wakuja hamjachafua jiji
Sio wote ila nikiri tu kuwa nusu ya marafiki zangu wamepoteza mwelekeo,hata mimi chupuchupu.tulizaliwa na kukua kipindi kigumu uhuni ikiwa ni fasheni,imagine unabalehe Tupac ndio yuko kwenye peak.lazima uvae mlegezo,uvute bangi,utoboe sikio,ukimaliza shule unawaza kuwa baharia kwenye meli au kuzamia nchi za watu,haikuwa rahisi wala msitucheke.Ma born town wengi wa Dar wanachoringia ni kuzaliwa na kukulia Dar ila ugali, mboga na kulala ni kwa mama. Kweli wakuja ni washamba ila walivyofika Dar wamechakarika na wengi kiuchumi wapo vizuri. Bora kuwa Bishoo wa Dar huku ukiiishi kwa kuunga unga na utapeli ama Mlugaluga ila shekeli unayo na unazidi kuitafuta? Vijana wengi maborn town kuanzia Knyama, Sinza, Migo migo wanaunga unga sana...
Wale wa Mbezi beach, Mikocheni, Upanga, Masaki na Obey wanaonekana wapo vizuri kwa kuwa wazazi wao bado wanawalea..
Wazazi wakitangulia ni kuuza mali na kutumbua maisha na zikishaisha ni mwendo wa kuombaomba. Vijana tujitume na kufanya kazi, Vijana ubishoo, ubrazamen na ubitoz sio maisha!
Sio wote ila wengi ndio ilikuwa hivyo. Ni kweli kama ulivyosema wengi wa zamani walikumbwa na usela wa Kimarekani ulioingia kwa kasi. Ila mabishoo wa sasa waliozaliwa Dar wanategemea sana mali za baba hawajitumi kisa baba yupo, wapo wachache wanaojituma.Sio wote ila nikiri tu kuwa nusu ya marafiki zangu wamepoteza mwelekeo,hata mimi chupuchupu.tulizaliwa na kukua kipindi kigumu uhuni ikiwa ni fasheni,imagine unabalehe Tupac ndio yuko kwenye peak.lazima uvae mlegezo,uvute bangi,utoboe sikio,ukimaliza shule unawaza kuwa baharia kwenye meli au kuzamia nchi za watu,haikuwa rahisi wala msitucheke.
Siku hizi uhuni ni ushamba
Vijana wa siku hizimmezaliwakipindi jiji limejaa ustaarabu.
Huku ndiyo kwenyewe, nazunguka uani nachuma chungwa mtini, naenda bandani nakamata jogoo au mbuzi nachinja, nyie endeleeni kula chips kuku wa kisasa na mayai yake, ziwamalize nguvu, badae tutakuja watoto wa Chanika tuwa-tombee mademu zenu....Chanika kiwanja laki tano,sio daslam hiyo hama haraka
Hayo ni makazi ya wastaafu, haiwezekani ndani ya Dar unasafiri masaa hujafika kwako hata aliyepanda bus la Morogoro anawahi kufika.Huku ndiyo kwenyewe, nazunguka uani nachuma chungwa mtini, naenda bandani nakamata jogoo au mbuzi nachinja, nyie endeleeni kula chips kuku wa kisasa na mayai yake, ziwamalize nguvu, badae tutakuja watoto wa Chanika tuwa-tombee mademu zenu....
Unajua na hii SGR ikikaa sawa, watu tutaanza kuishi Morogoro baadae huku tunafanya kazi Dar - ilituwe tunalala kwenye hewa safi na kula vitu fresh vya shambani - tuishi maisha marefu.Hayo ni makazi ya wastaafu, haiwezekani ndani ya Dar unasafiri masaa hujafika kwako hata aliyepanda bus la Morogoro anawahi kufika.
Mkuu wewe ni wa Kigoma nini? Unakujua Mpaka KazuraMimba?Ulikuwa kizuramimba miaka hiyi.
Dar zamani tulijuana mabishio wote kabla wakuja hamjachafua jiji
Dar vijijininasikia huko kulikuwa na uchaguzi wa vitongojiHuku ndiyo kwenyewe, nazunguka uani nachuma chungwa mtini, naenda bandani nakamata jogoo au mbuzi nachinja, nyie endeleeni kula chips kuku wa kisasa na mayai yake, ziwamalize nguvu, badae tutakuja watoto wa Chanika tuwa-tombee mademu zenu....
Picha yake tafadhaliMwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia
Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Kama unaweza kuaccess Facebook faster hapo unaweza kumuona (ulikuwa anatumia jina hilo hilo).Nimeonq jamaa hapo juu anasema Jamiiforums hawaruhusu kutuma picha za users wao.Picha yake tafadhali