TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia

Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba

Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile

Kote alikisoma iwe Forodhani primary,St Anthon,,Dakawa High School,Tumaini University na wizara ya Ardhi,walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu

Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Shida yakudhani kila mtu yupo huko dar..
Bishoo ndio nini?!
Kwamba kila mtu unaefahamu wa mtaani kwako akifa lazima kupost?!
By the way pole
 
Back
Top Bottom