Ni kweli maana wangu ni 38Huwezi kua na KIJANA mkubwa Kama Mimi 40's
☺️☺️😊
Ni kweli maana wangu ni 38Huwezi kua na KIJANA mkubwa Kama Mimi 40's
☺️☺️😊
Uko sahihi Steve kama Steve hakuwahi kupata shida ndogondogo na ni bahati mbaya tu kuwa kwenye familia yao alichagua aina ya maisha hayo way back 1998 alishajitumbukiza kwenye ulevi,hatumsimangi marehemu ila tunafundishanaWewe mkuu kidogo unaijua historia ya kijana Steven Msaki.
Baba yake Jacob F Msaki akilukwa Mkurugenzi Mkuu wa TISCO . Cheo alichopata kiujanja ujanja. Mimi niaifahamu historia yake.
Kijana Steven anazaliwa tunamwona, cha kusikitisha baba yake hakuwa mtu wa ustaarabu kimaisha na kikazi na amedhulumu watu wengi licha ya kutoihudumia familia ipasavyo.
Mke wake Jacob Msaki mama yule alipitia mateso mengi kimaisha.
Wafanyakazi kampuniya TISCO wengi walitapeliwa mafao yao.
Kujito kimasomaso Jacob Msaki aliwapeleka watoto Marekani na yeye kukimbiloa Dubai.
Maisha hayakuwa mazuri sana , mke yuko Dar watoto USA na yeye Dubai. Watoto kama Steve hawakupata matunzo ipasavyo, hivyo ikawa pombe mtu.
Naye Msaki huko Dubai maisha hayakuwa mazuri, akaugua na kurudishwa Muhimbili alipofia. Mke naye akaugua kwa kukosa matunzo na hatimaye kufariki.
Kijana Steven amefariki kwa frustration za kimaisha. Laiti mzee wake angemweka sawa kimaisha angeendelea vizuri.
Nimeeleza mambo yajuu juu tu, kuna mazito mengi.
Tumwombee Mungu ,kijana Steve apumzike kwa amani.
SOMO: Vijana katika hali yoyote, umasikini au utajiri, tunza upendo kwa familia yako.
Kama ni maneno ya kweli Basi hongera sanaa 😊Ni kweli maana wangu ni 38
Upo sahihiUko sahihi Steve kama Steve hakuwahi kupata shida ndogondogo na ni bahati mbaya tu kuwa kwenye familia yao alichagua aina ya maisha hayo way back 1998 alishajitumbukiza kwenye ulevi,hatumsimangi marehemu ila tunafundishana
hii ni exclusive kwa tuliokulia masaki miaka ya 2000 kurudi nyuma na tukaja kuzeekea mbezi beach miaka ya 2000 kuendelea nyie wa chato mtuache kidogo tuombolezeJinga sana mtoa mada yaani kama wote tunamjua
Nidanganye nipate nini! Sisi ni VikongweKama ni maneno ya kweli Basi hongera sanaa 😊
Umeongea kikomavu sanaUzi wa taarifa ya msiba umekuwa Uzi wa majungu, kukashifiana na kutoana akili......
Kuna watu wakisikia neno " Watoto wa mjini " wanashikwa na hasira sana sijui kwanini Hilo neno linawakera......utawasikia hao watoto wa mjini wana nini.....??
Jamani "Watoto wa mjini" ni neno tu la mikogo na sio kumkebehi mtu......
Kwenye maisha kupata na kukosa ni mipango ya Mungu pamoja na juhudi za mtu binafsi yoyote........
Wapo watu wengi waliokuja mjini na maisha yakawashinda pamoja na kupambana na wameamua kurudi makwao.....na wapo wengi waliokuja na Mungu akawanyooshea
Pia wapo "Watoto wa mjini" waliofanikiwa na wengine ndio hivyo wanabangaiza........
Ujinga na upumbavu kwenye maisha hauna kwao.....na wakati mwingine kuna kuteleza kwenye haya maisha na unajikuta unarudi ulipotoka......
Inapokuja taarifa ya msiba basi uungwana ni kumtakia kheri marehem huko aendapo mpendwa wetu na sio tena kuzuka kijiwe cha zogo na masimango kwa marehemu......
Tujifunze kustiriana na sio kuvuana nguo na kumwagiana aibu...... japokuwa tunatumia utambulisho bandia lakini nafsi zetu sio bandia......
Wabillah tawfiq......🙏
Hakika mkuuUmeongea kikomavu sana
Ngoja ni share kitu juzi nilipigiwa simu na mama akanambia mwanangu msaidie mdogo wako.AAlcohol free since January 1, 2024.
Hapo sawa heshima kwenu..Ni wazee wachache Sana ambao wameamua kwenda na wakati.Nidanganye nipate nini! Sisi ni Vikongwe
Tupo hapa JF Miaka mingiHapo sawa heshima kwenu..Ni wazee wachache Sana ambao wameamua kwenda na wakati.
Tupo hapa JF Miaka mingi
Umeongea vyema mkuuUzi wa taarifa ya msiba umekuwa Uzi wa majungu, kukashifiana na kutoana akili......
Kuna watu wakisikia neno " Watoto wa mjini " wanashikwa na hasira sana sijui kwanini Hilo neno linawakera......utawasikia hao watoto wa mjini wana nini.....??
Jamani "Watoto wa mjini" ni neno tu la mikogo na sio kumkebehi mtu......
Kwenye maisha kupata na kukosa ni mipango ya Mungu pamoja na juhudi za mtu binafsi yoyote........
Wapo watu wengi waliokuja mjini na maisha yakawashinda pamoja na kupambana na wameamua kurudi makwao.....na wapo wengi waliokuja na Mungu akawanyooshea
Pia wapo "Watoto wa mjini" waliofanikiwa na wengine ndio hivyo wanabangaiza........
Ujinga na upumbavu kwenye maisha hauna kwao.....na wakati mwingine kuna kuteleza kwenye haya maisha na unajikuta unarudi ulipotoka......
Inapokuja taarifa ya msiba basi uungwana ni kumtakia kheri marehem huko aendapo mpendwa wetu na sio tena kuzuka kijiwe cha zogo na masimango kwa marehemu......
Tujifunze kustiriana na sio kuvuana nguo na kumwagiana aibu...... japokuwa tunatumia utambulisho bandia lakini nafsi zetu sio bandia......
Wabillah tawfiq......[emoji120]
Stive amevuta. Apumzike kwa Aman classmateMwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia
Kwa waliokulia masaki miaka ya 2000 kushuka chini,au Mbezi Beach miaka ya 2000 kuendlea wanamfahamu huyu mwamba
Alikulia familia ya kishua mboga saba tangu miaka ya 90s,mzee wake alikywa Don sana lakini mwamba alicgagua kuishi low profile
Kote alikisoma iwe Forodhani primary, St Anthon, Dakawa High School, Tumaini University na wizara ya Ardhi, walimchukulia powa kutokana na life style yake ya kujichanganya na kika aina ya watu
Wana Mbezi Beach hawatakusahau Bishoo Steve Msaki
Watu ni tofauti mkuu. Mimi nafikiri nina willpower kubwa nikiamua kitu changu ni lazima nakikamilisha.Ngoja ni share kitu juzi nilipigiwa simu na mama akanambia mwanangu msaidie mdogo wako.
Kifupi mdogo angu ni mtundu toka udogoni na ukituona ni kama mapacha TUMEPISHANA TUMBONI MIEZI SITA..Ina maana ujauzito wake ulitunga Mimi nikiwa na miezi sita.
Kwa Sasa dogo amekua anakunywa Sana na hope Kuna vitu anatumia zaidi ya vilevi vya kawaida maana huwa akilala mpaka aamke mwenyewe. Na tunajua vilevi vina arosto je? Huyu dogo naweza/ tunaweza kutumia mbinu gani aweze kuacha ULEVI? JE? WEWE KAMA WEWE UMEWEZA KWA KUTUMIA MBINU GANI?
Maana Kuna muda unaweza SEMA ngoja u refreshing au kukawa na tafrija au ukatembelea mtu/ watu wanao kunywa ama ukawa na vinywaji changamshi kwenye friji nyumbani je ? unaweza vipi kushinda vishawishi.
min -me
Nina kama miaka miwili sijamsikua wala kumuona kabisa. Alikua na changa moto ya kisukari plus unywaji na uvutaji uliopitiliza kuto kulala!Mwana JF Steven Msaki ambaye ID yake siikumbuki ika najua ni member humu amefariki dunia