TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Kuna vitu vinachekesha,Diamond ana bifu na baba yake kisa alimtelekeza,at the sane time na yeye anatelekeza na kuzaa ovyo ovyo.
Mzee Jacob juna makosa aliyafanya ila ana nafuu mara mia kuliko aliyofanya Steeve ambaye tulitegemea awe tofauti na mzee wake
Yaani hapa watoto wanafanya makosa makubwa kuliko yababa zao.
Mkuu kuwaharibu watoto wako mwenyewe kisaikolojia ni kitu rahisi sana.
Just mistreat the mother, unakuwa umewaharibu watoto kuliko unavyofikiri.
 
Mkuu kuwaharibu watoto wako mwenyewe kisaikolojia ni kitu rahisi sana.
Just mistreat the mother, unakuwa umewaharibu watoto kuliko unavyofikiri.
Ni kweli nakubaliana na wewe iila huwezi jua hiyo ni chain,labda baba yao nae alikuwa vile kutokana na background ya wazazi wake walivyoishi,mwisho wa siku kila mtu abebe msalaba wake.
Sio kwa ubaya ila Steeve ana ndugu zake waliozaliwa pamoja wako vizuri sana kitabia na wako kwenye mstari,why yeye?
Nadhani ni suala complicated
 
Bobby yupi? Huyu mtangazaji?
Huyo huyo,yule ni muhuni anayejielewa,Nadhani kati ya marafiki wa marehemu Bobby ndio alikuwa zaidi ya rafiki,tangu 1998 Dakawa wako very close,miaka zaidi ya 25
 
Nimeishi maisha alioishi Stive tena kwa miaka mingi. Nilipiga uturn japo kwa asilimia chache baada ya kupata ajira bank na yeye akaenda wizara ya ardhi, Regu akaenda ofisi ya mwanasheria Mkuu na Ben yeye aliamuaga kubaki mtaani. Muda wa kazi Tulikua tunavuka maji kwenda kunywa za bei rahis Jeshini

Kesho anaagwa kanisa Mbezi chini kabla ya kilimacharainbow. Tutaonana wengi
Thebroker umesomeka. Nafikiri unamuongelea Ben Maji a.k.a key wope( code) ? Kama ndio huyo msela wetu naye anahitaji sana msaada wa kisaikolojia na msaada wa hali na mali.
 
Thebroker umesomeka. Nafikiri unamuongelea Ben Maji a.k.a key wope( code) ? Kama ndio huyo msela wetu naye anahitaji sana msaada wa kisaikolojia na msaada wa hali na mali.
Kama unaweza kumobilize kitu cha kumuokoa do it man,i feel guilty kwa kifo cha steve,angeweza kupelekwa sobber house angekuwa hai may be,amefariki michangi iliyochangwa ni mingi sana lakini haina maana
 
Kweli mkuu, tutachukua hatua.
Uzi huu umenikumbusha mabishoo na wagumu wa mbezi beach, masaki na mikocheni wa enzi hizo.

Kaizilege Brown, mwaki mwaikambo, Juntwa na wengineo.
 
Chanika usishangae ukasikia ameonekana simba.
Mwaka 2009 kuna jamaa aliuwa Simba na kijembe cha kulimia mpunga, alimuokoa mjomba wake alidakwa alipoenda kupiga kojo choo cha nje.
Huko mbele ndani zaidi Dondwe Simba walikuwa wanamaliza ng'ombe wa mzungu mmoja Babu David Robertson R.I.P.
Chaniker hii hii back 2009 mpaka kina Lion King wapo duu
 
Ngoja ni share kitu juzi nilipigiwa simu na mama akanambia mwanangu msaidie mdogo wako.

Kifupi mdogo angu ni mtundu toka udogoni na ukituona ni kama mapacha TUMEPISHANA TUMBONI MIEZI SITA..Ina maana ujauzito wake ulitunga Mimi nikiwa na miezi sita.

Kwa Sasa dogo amekua anakunywa Sana na hope Kuna vitu anatumia zaidi ya vilevi vya kawaida maana huwa akilala mpaka aamke mwenyewe. Na tunajua vilevi vina arosto je? Huyu dogo naweza/ tunaweza kutumia mbinu gani aweze kuacha ULEVI? JE? WEWE KAMA WEWE UMEWEZA KWA KUTUMIA MBINU GANI?

Maana Kuna muda unaweza SEMA ngoja u refreshing au kukawa na tafrija au ukatembelea mtu/ watu wanao kunywa ama ukawa na vinywaji changamshi kwenye friji nyumbani je ? unaweza vipi kushinda vishawishi.

min -me
Naomba nisaidie hapo kidogo. Niliacha pombe rasmi 21 Feb 2022. So nna almost 3 years plus. Kwanza kabisa ni commitment. Then namna bora ambayo ilinisaidia sana ni kujikwepa na vishawishi esp makundi ya wanywaji hasa the first 90 days ukiweza kutoboa hapo definitely utakaza mbeleni.
Hadi kesho naweza kuchill na marafiki ambao wengi ni wanywaji hadi lets say saa 1 2 usiku then mida hatarishi narudi zangu home.
 
Shukrani sanaa mkuu
 
R. I. P Steve, alikuwa mnyenyekevu sana mwana.
Sana full adabu....

Ila kwa sisi enzi zile rekodi yetu haikuwa nZuri maana wengine tulikuwa masela,watemi,wakorofi
Shuleni na mtaani mpaka walimu,wazazi wa washkaji wakawa wanasema hawa jamaa
Huko mbeleni wataishia kufa,kufungwa nk 😄
Nakumbuka kuna mwalimu wangu mmoja wa primary nlikuwa namsumbua sana maana kila siku ni kesi tu
Kuna wakati tuligumiana alishangaa sana kuniona akacheka sana

Ova
 
Mrangi siku hizi hskuna masela,tumepiga sana nakondakta waliotaka kuzuia tusipande daladala tukienda shule,siku hizi hakuna mwanafunzi mwenye uwezo wa kupiga kondakta
 
Mrangi siku hizi hskuna masela,tumepiga sana nakondakta waliotaka kuzuia tusipande daladala tukienda shule,siku hizi hakuna mwanafunzi mwenye uwezo wa kupiga kondakta
Sio kupiga tu, umesahau Kuna konda alipigwa hadi akadanja? Ukatokea mgogoro mkubwa sana Dar es salaam kati ya wanafunzi na wamiliki wa daladala. Kipindi hicho tulikuwa na umoja haswa.
 
Sio kupiga tu, umesahau Kuna konda alipigwa hadi akadanja? Ukatokea mgogoro mkubwa sana Dar es salaam kati ya wanafunzi na wamiliki wa daladala. Kipindi hicho tulikuwa na umoja haswa.
Nakumbuka sana.
We fikiria kisa cha shule ya Tambaza kufungwa 1993 su 1994 ,wanafunzi wa type ile siku hizi hakuna
 
Back
Top Bottom