Wewe mkuu kidogo unaijua historia ya kijana Steven Msaki.
Baba yake Jacob F Msaki akilukwa Mkurugenzi Mkuu wa TISCO . Cheo alichopata kiujanja ujanja. Mimi niaifahamu historia yake.
Kijana Steven anazaliwa tunamwona, cha kusikitisha baba yake hakuwa mtu wa ustaarabu kimaisha na kikazi na amedhulumu watu wengi licha ya kutoihudumia familia ipasavyo.
Mke wake Jacob Msaki mama yule alipitia mateso mengi kimaisha.
Wafanyakazi kampuniya TISCO wengi walitapeliwa mafao yao.
Kujito kimasomaso Jacob Msaki aliwapeleka watoto Marekani na yeye kukimbiloa Dubai.
Maisha hayakuwa mazuri sana , mke yuko Dar watoto USA na yeye Dubai. Watoto kama Steve hawakupata matunzo ipasavyo, hivyo ikawa pombe mtu.
Naye Msaki huko Dubai maisha hayakuwa mazuri, akaugua na kurudishwa Muhimbili alipofia. Mke naye akaugua kwa kukosa matunzo na hatimaye kufariki.
Kijana Steven amefariki kwa frustration za kimaisha. Laiti mzee wake angemweka sawa kimaisha angeendelea vizuri.
Nimeeleza mambo yajuu juu tu, kuna mazito mengi.
Tumwombee Mungu ,kijana Steve apumzike kwa amani.
SOMO: Vijana katika hali yoyote, umasikini au utajiri, tunza upendo kwa familia yako.