snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Unataka kuwa Abdala nyumba nyingi?
shemeji nakushangaa unavocheka na huyo mtu!si umeachiwa mali za kakako ulinde?
nashangaa unavouliza swali jepesi kwa swala gumu
Unataka kuwa Abdala nyumba nyingi?
eehehehhehehhehehh sosi fulani!
af eti umesema SnowBall mnoko kama mwalimu wa kiingereza wa shule ya msingi ahahhahahahhha yani umenikumbusha mbali!lol
mkuu siku ile nilikuambia unitumie kupitia figganigga@jamiiforums.com. tuma picha zote. natumia nafasi hii kumkumbusha pia KakaKiiza kuntumia picha. tumeni zote kwa jumla ni picha 38. miaAisee figganigga picha zako za white party nikupatieje?
shemeji nakushangaa unavocheka na huyo mtu!si umeachiwa mali za kakako ulinde?
nashangaa unavouliza swali jepesi kwa swala gumu
eehehehhehehhehehh sosi fulani!
mi sisemi kitu nasubr waje waseme!wao au shemeji yangu Nicas Mtei namshangaa aanavokuchekea au ushapenyeza uchawi wa kizungu! huko?
Vipi wewe si mtalikiwa? tatizo wengi wana mitala.
mipango ya muda mrefu kweli tunayo
Aku mie sitaki eti. Yasije nikuta ya KIPIPI na Yule hermaphrodite ​aliyetoweka jamvini.Jina lako gumu ujue?
Afu mie napenda totozi zinazocheka kama weye, akyanani nitakupa ufunguo wa Benzi, CL350
Mr Rocky naona anafwata kimya kimya nyayo za Erickb52 na Filipo sijui Dena Amsi kapotelea kisimandui
Nimeelewa,mwambie Arushaone next week naenda misitu ya congo nitamroga aachike
Afu kyanaKyoMuhaya nakudai picha zangu ujue, naku miss sana aisee