STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

samahani mkuu!hapa eti umesemaje?
nauliza tu mkuu!nauliza tu!
Mr Rocky anataka shule jinsi ya kuongeza digits kwenye cheque bla kujulikana na ya kusain mikataba mibovu bila kushtukiwa sasa nimemuahidi nitampatia hiyo shule. wewe huitaki?
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imenisemea vibaya sana! Imenidhalilisha sana, imenifadhaisha sana na nimeonewa sana katika hili!
Kipindi hichi ambacho tunatarajia mtoto, mapepo ya kuvuruga ndoa yamekuwa mengi na sasa yamemuingia msuluhishi. Hakika maombi tu ndio yatatusaidia.
Nachukua fursa hii kumwambia mke wangu mpenzi marejesho kuwa nakupenda sana na hivi sasa tunapotarajia mtoto! I love you more than before!
Baba V naomba ureview post yako na kuedit mambo dhalili uliyoniandikia, mke wangu asije akajifungua "pre-mature!"

Hata kama chungu, lakini ndo dawa, sijakudhalilisha bali nimesema kweli kabisa hata server za JF ni shahidi katika hili, shukuru MUNGU umempata marejesho anajua kuvumilia ndoa, ungeoa [MENTION=80055]Madame B , charminglady au sweetlady akili ingekukaa sawa...
 
Last edited by a moderator:
mwl mwenzangu mie natangaza rasmi kutalikiana na Kaizer na sasa natafuta mume mpya............. manake mume huyu amesahau wajibu wake kwangu na watt. sasa nimechoka nataka kutafuta liwazo pengine.
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky anataka shule jinsi ya kuongeza digits kwenye cheque bla kujulikana na ya kusain mikataba mibovu bila kushtukiwa sasa nimemuahidi nitampatia hiyo shule. wewe huitaki?

nasubir muongozo wako mkuu!
mtoto mbaya wewe!na mwaka huu watakukoma!
 
mwl mwenzangu mie natangaza rasmi kutalikiana na Kaizer na sasa natafuta mume mpya............. manake mume huyu amesahau wajibu wake kwangu na watt. sasa nimechoka nataka kutafuta liwazo pengine.
maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamaaaaaaaaaaah! ATI? Kaizer kuja huku !na we umezidi kuwa busy ona sasa unaachwa huku!
sijui utaliaje maskin!
mweh!
 
Last edited by a moderator:
mwl mwenzangu mie natangaza rasmi kutalikiana na Kaizer na sasa natafuta mume mpya............. manake mume huyu amesahau wajibu wake kwangu na watt. sasa nimechoka nataka kutafuta liwazo pengine.

Kaizer rrrrrr...!!!!, this way please, njoo utoe msimamo wako katika hili, afu ninaanzisha utaratibu wa kuwachanja alama kila wanaoachana, maana ntachanganyikiwa sasa, na hii itawarahisishia hata wanaotaka kuanzisha mahusiano wajue kuwa mtu ni used au la, na kama ni used to what extent..!??
 
Last edited by a moderator:
ameivunja kimya kimya zimekuwa nyingi hajielewi................yupo busy love connect anaweza kutana na Madame B

Ha ha ha....ile ndoa imevunjwa kimila kwa kuchinja kondoo mweusi....
Nimepewa u mod wa love connect na jukwaa lile la chini kabisa...si hatari hii? Mr Rocky niliona katuma PM kwenda kwa Madame B....nahisi itakuwa salamu tu na haihusiani na ile thread.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
nasubir muongozo wako mkuu!
mtoto mbaya wewe!na mwaka huu watakukoma!

Walimu wenzangu ndo ubunifu katika fani ama!??, na mimi ntaanza kutoa somo jinsi ya kula rushwa bila kugutukiwa, najua ntapata wanafunzi wengi kutoka idara mbalimbali za serikali
 
Walimu wenzangu ndo ubunifu katika fani ama!??, na mimi ntaanza kutoa somo jinsi ya kula rushwa bila kugutukiwa, najua ntapata wanafunzi wengi kutoka idara mbalimbali za serikali

hebu ongea na mkuu gfsonwin adisign bango!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer rrrrrr...!!!!, this way please, njoo utoe msimamo wako katika hili, afu ninaanzisha utaratibu wa kuwachanja alama kila wanaoachana, maana ntachanganyikiwa sasa, na hii itawarahisishia hata wanaotaka kuanzisha mahusiano wajue kuwa mtu ni used au la, na kama ni used to what extent..!??
hahahahhahh! kwani umesahu mjini hapa??
hii ni uda bana ukifika unashuka mwenzio anapanda maisha yanasonga mbele.
 
report gan mkuu?

Mkuu ulikuwa na mambo mengi nini, si nilikwambia ufuatilie habari y huu mgogoro wa ndoa kati ya C6 na charminglady kiasi cha kumfanya charminglady apande ndege hadi dar kuniletea taarifa za kuichoka ndoa yake!?, hakikisha unampata huyo C6 na unakuja na ripoti.., yaani wewe ukafurahia tu kupanda fastjet ukasahau lililokupeleka rock city....!!!?
 
Last edited by a moderator:
nasubir muongozo wako mkuu!
mtoto mbaya wewe!na mwaka huu watakukoma!

kwani mwenzangu hujaona waraka?? kwamba serikali haina hela ya kupandisha waalim madaraja?? sasa tufanyeje??

Walimu wenzangu ndo ubunifu katika fani ama!??, na mimi ntaanza kutoa somo jinsi ya kula rushwa bila kugutukiwa, najua ntapata wanafunzi wengi kutoka idara mbalimbali za serikali

tuanzishe mwl nakwambia tutapata tena sisi tutakula za halali kila topic.
 
hahahahhahh! kwani umesahu mjini hapa??
hii ni uda bana ukifika unashuka mwenzio anapanda maisha yanasonga mbele.
OH TATE NANE!
HII MINENO INATOKA KWAKO MWALI!kuelekea kwa Kaizer huyu huyu au?
uuuwih!
ndoa zote zivunjike lakini sio yako na Kaizer mweh mweh AshaDii hebu kuja huku?siriisam yenu eti inataka kuvunjika kuja please!
 
Last edited by a moderator:
kwani mwenzangu hujaona waraka?? kwamba serikali haina hela ya kupandisha waalim madaraja?? sasa tufanyeje??

we acha tu yani wameboaaje watu!sasa ndo tukae tu na hizi nanihino mpka tutumike vyeo vyote miaka 6 walahi wanazid kutuudhi lo!

tuanzishe mwl nakwambia tutapata tena sisi tutakula za halali kila topic.
Baba V panga eneo la tukio tupige kazi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom