twisheni ya nini tena?? manake kusoma na kuandika kuko kwa aina nyingi sana siku hizi.
gfsonwin kufoji cheque na kuongeza sifuri kwenye maandishi bila kujulikana na namna ya kuandika mikataba ya kilaghai
Last edited by a moderator:
twisheni ya nini tena?? manake kusoma na kuandika kuko kwa aina nyingi sana siku hizi.
Baba V, Jamani mbona mimi hamnitaji??? Nasononekaje?????
salamu zako nilipata na kwamba ulirudia njian ubungo eti umeitwa kwenye dili nikajiuliza dili gani siku ya j2 mchana?? je isingeweza kuvumilia had j3??
kiukweli hata wewe unamtenda hivyo dada mkubwa??
lkn nimekusamehe usirudie kosa hili sawa?? nasubiria vocha kwenye cm kama faini.
hahhahhah! usjali hiyo nitakupa shule safi sana.
hahhahhah! usjali hiyo nitakupa shule safi sana.
Kipipi dah nimekumiss mara nyingi tuu aise ni wewe hata salam hunipi aise
charminglady haya bana we nakuona unataka vita
gfsonwin nataka uje unianzishie twisheni ya chekechea nijue kusoma na kuandika
Vin Diesel kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa ndoa yako na Mamndenyi bado iko hai au nimesahau
Day's r numbered wandugu, wiki mbili to come ntakuwa ndani ya UE, then after ntarudi kuungana na Jf again. Maombi yenu tu.
Baba V, Jamani mbona mimi hamnitaji??? Nasononekaje?????
Mtalingolo dah Mungu akutangulie aise
Umepotea sana mkuu uzima upo aise
Mwenyekiti Baba V nipo bana. Chama chetu cha penda penda bado kipo ila masalia walitufanya tukimbie humu
Nimewamiss sana Blaki Womani, cacico, gfsonwin, Preta, charminglady, dada yangu mpendwa AshaDii Kipipi, Kongosho King'asti, Kaunga Kipipi, Dena Amsi,
Copy Vin Diesel, Erickb52, Filipo, Arushaone watu8
Vin Diesel tatizo hujatutangazia kuwa ndoa yako na Mamndenyi imevunjika sasa kwa nini tusiiseme aise