STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

Unfit? Una hakika? Utasemaje huwa huli kitu fulani kabla hujaonja?
Afu usiseme naongea, sema tunaongea maana na ww unajibu

Kongosho,
Dont show so much of care & love to anyone
Bcoz it creates a non curable pain when they start avoiding u.
Copy:Baba V
Just
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    6.2 KB · Views: 37
He he he he, he he he he he he, hehehehehehehehe

Dont take jf too seriously

dah! Haya bana, hadi kuhangaika kufukua "Bi ya self'?
Kweli wanawake mna kazi

Kongosho,
Dont show so much of care & love to anyone
Bcoz it creates a non curable pain when they start avoiding u.
Copy:Baba V
Just
 
He he he he, he he he he he he, hehehehehehehehe

Dont take jf too seriously

dah! Haya bana, hadi kuhangaika kufukua "Bi ya self'?
Kweli wanawake mna kazi

Eti ehh, hayo ni ya kawaida tu!!! Hapo kwenye BLUE inaelekea unatumia desktop.
 
Endelea tu kutiririka mpaka kieleweke...nishaanza kuona dalili njema, mtoto kashang'ata kucha zote za mkono wa kushoto!

Wee, utanipeperushia ndege wangu ujue?

Nshamwaga mtama wangu wote hapa
 
He he he he, nahamia PM

Maana hukawii kunisanulia 'Shemale'

Endelea tu kutiririka mpaka kieleweke...nishaanza kuona dalili njema, mtoto kashang'ata kucha zote za mkono wa kushoto!
 
teh teh teh!!! sasa naona ndio waanua matanga, maana kitendo cha kwenda PM najua tayari ushapewa BIG YES!!! unaenda tu kufainolaizi mambo ya kontakti na venyu ya mtoko!! hutaki best yako nijue...

He he he he, nahamia PM

Maana hukawii kunisanulia 'Shemale'
 
HA ha ha ha, umeona eeh
Ana kifua cha senene, hakibebi kisadolini

Wa hivi kuwasongesha kibra laini

ndio ushaelekea kibra hivyo teh teh teh!!!
btw: watu8 anachit na kuchat nothing serious
 
mtu mzima akikubali huwa hasemi NDIO....we hapo komaa tu na hiyo namba ya simu, halaf usisahau kupeleka na maua....

Daymm, watu8, this is ur fault
Ushanipeperushia, utanilipa mtama wangu nlotumia

Ngoja na mie nikalichune Buzi langu la zamani li Bishanga
 
Back
Top Bottom