STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wapendwa ni aje...!! ujio huwa ni wa mawazo na kuwazua, kupimia upepo na kuchukua hatua stahiki, usiende kichwakichwa yakakufika ya kukufika ati,,, katika kupitiapitia jukwaani hapa nimebaini mambo mbalimbali kwa wanajamvi espeshale baada ya kuanza mwaka huu... , zifuatazo ni dondoo za mwelekeo wa wanajamvi kwa mwaka huu....

i. Mwaka huu kimsingi umeanza kwa kugubikwa na wingu baya la kusambaratika na kutetereka kwa mahusiano na ndoa za watu, tulivyoingia tu tukashuhudia nitonye akimmimina sweetlady kama maji machafu kisa eti bibie hatulii na amekuza kiwango ati anaweza akawamudu wachezaji idadi yoyote kwa wakati wowote, katika hili majina kama Mr Rocky na Vin Diesel yalisikika mara kwa mara.

ii. Tulishuhudia pia Arushaone aki bip kwa Mamzalendo kama kawaida yake katoka nduki kama alivyofanya kwa Mamndenyi . Kampotezea Mamzalendo kimyakimya ilhali nia alitangaza hadharani hapa, wakati huohuo tumeshuhudia kijana wa Jf Arusha wing Filipo akipagawa ghafla kama katiwa ndimu baada ya safari ya Tanga, kinywani muda wote ni Arabela jambo lililomfanya zubedayo_michuzi anyong'onyee na kwa upande wa pili niseme tu ndoa ya Filipo kwa marejesho imeshikiliwa na uvumilivu na busara za marejesho , otherwise....!!!

Mwaka huu umeshuhudia kuibuka kwa vijana machachari kama Vin Diesel ambaye asione jinsia ya Eva mbele yake anatangaza ndoa bila kujali ni mke wa mtu, mchumba au under 18,,
Pia ttumeshuhudia kijana Slave akijifunga pingu na Evelyn Salt licha ya zengwe lililoanzishwa na Globu.

Hali kadhalika jukwaa limeshuhudia kuadimika Cc kwa watu kama Erickb52, Dena Amsi, Mtambuzi, Ronn M na mkewe jeneneke hivyo kuwa miss sana,

Mwenyekiti wa tume ameurahishwa na ndoa moja ya mfano na familia iliyotulia ya watu8 na measkron pamoja na watoto wao, hii ndoa imekuwa ya mfano.

Hali kadhalika tumeshuhudia ndoa kati ya C6 na charminglady , Chimbuvu na Madame B na Bishanga na The secretary zikiwa katika dhoruba kali kiasi kwamba zinategemewa busara za mwenyekiti kuokoa jahazi.

Kubwa kuliko zote ilikuwa ni kuibuka kwa kundi la VIRUSI au masalia waliokuwa wanatumwa kuja kuchafua hali ya hewa hapa ndani na kuwasababishia members ban za mara kwa mara, hiyo ikapelekea kuumbuliwa kwa kaka Marry Hunbig a.k.a mzungu mndali ambaye alitumia jinsia ya bandia akataka kumuingiza mkenge stevoh kabla hatujamstukia na kumuumbua, Kimsingi jukwaa linazidi kupendeza na kuwa na members wengi zaidi

Huku ndo chit chat hatuulizani dini, kabila, itikadi ya kisiasa wala elimu ya mtu.

Napenda kukaribisha maombi ya wote wanaotaka kurasmisha mahusiano yao walete mpango mkakati wao kwangu ili niweze kuufanyia upembuzi yakinifu kabla sijaruhusu kikosi kazi kuanza mchakato wa utekelezaji.

We miss you Ruhazwe JR, The Boss, Judgement, Ciello, cacico, BAK (mutu ya burudani), pombekali , Mentor et al

CHIT CHAT MUCH FUN MUCH LOVE

Copy: Asprin , kasi ya ukaguzi imepungua sana ndo maana tunasumbuliwa na watu kama Marry Hunbig Mndali
 
Last edited by a moderator:
Aseee hii thread imenichafua kisiasa......kwanza nilishapiga marufuku kutajwa au kuhusishwa na huyo mtalaka wangu...
Pili suala la ndoa ni wewe uliekataa kubatilisha na kutangaza ndoa yangu mpya...
Kuna haja ya kuanzishwa kwa kamati ya rufaa....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Aseee hii thread imenichafua kisiasa......kwanza nilishapiga marufuku kutajwa au kuhusishwa na huyo mtalaka wangu...
Pili suala la ndoa ni wewe uliekataa kubatilisha na kutangaza ndoa yangu mpya...
Kuna haja ya kuanzishwa kwa kamati ya rufaa....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Talaka haitumwi kwa sms dogo, vigezo na masharti kuzingatiwa,, Mamndenyi sogea pande hii..!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
AshaDii asante sana sis. Miss you sana aise tena sana.
Baba V huyo ni mke halali wa ndoa na ndoa yetu ni kongwe sana licha ya kukumbwa na misukosuko kama ya akina sweetlady bado iko imara sana. Dena Amsi penda wewe sana sana
Vin Diesel anafaa kuwa rais wa penda penda club kuchukua nafasi ya Erickb52 maana anatisha
Hivi ndoa ya Vin Diesel na Mamndenyi iliishia wapi au ndo penda penda kazini
 
Last edited by a moderator:
mwl hivi wewe unafundisha form six enh??
manake wenzo wote tumeadimika bado upo tu si bure wewe sasa ndo unafunga scheme ndo mana.
BTW nimewamiss sana Mentor(dogo nitakucharaza bakora), Mr Rocky, @c6, Kaizer (swtlo wangu), Asprin cacico , snowhite, { Madame B, Paloma, amu (nimerudi wapendwa)} na zaid sana Bishanga, @mpitwaga na Mtambuzi.

My fellow teacher ndo nawaandaa vijana kwa ajili ya kipimo hapo february, pole kwa msiba my dear. Mengi yanajiri humu ndani, we acha tu. umeskia Madame B katangaza anatafuta mchumba!?? afu kajipambanua eti yeye ni mpole tena bikra, si kuwaibia watu huku!??
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi nimemtuma shamba...hatakuja jukwaani mpaka baada ya mavuno june...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Umem deport kwenye mashamba ya miti ili ujirushe vizuri na vimwana eeh!, afu kwenye ripoti ya kuvunjika kwa ndoa ya C6 na charminglady jina lako limeonekana mara nyingi sana, nasubiri Nicas Mtei aniletee ripoti ya Mwanza alikoenda kufuatilia suala hili. I will come back to you
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom