Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

Alimaanisha Yusuf kuweni na akili za kuvukia hata road

USSR
Tunamtaka na yeye alekebishe haraka vinginevyo tutampeleka kwenye tume ya maadili kwa kupotosha. Atoe kauli kwa UMMA NA BUNGE MANA IPO KWENYE HANSADI ZA BUNGE. ya kujirekebisha alipotupotosha kuwa Yesu alitembea na mke wake. Ni jambo dogo sana hili, sasa kazi kwake mana nkuki kwa ngurue kwa binadamu ............
 
Ulimi hauna mfupa.......

Mh.Spika alikusudia YUSUFU.....ndio maana alisema walikwenda alipozaliwa Bwana Yesu......

#Yetzerha-tov
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Mungu acha aitwe Mungu, mheshimiwa Nduga alivyokuwa anamsema mheshimiwa Gwajima utazani anamsema mtoto wake hapo hapo akaumbuka, toa kibanzi kwenye jicho lako kwanza halafu nsio utoe boriti kwa jicho la mwenzako, maandiko hayabadiliki kamwe.
 
Umenichekesha hadi nahisi kuumwa. Duh umeifanya jioni yangu kuwa njema sana
Ndio hivyo mkuu hakuna namna maana mpaka mtu unajiuliza sisi Tanzania tulimkosea Nini Mungu?😢😢😢😢😢
IMG_20210830_203748.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom