Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Bila hata kupepesa macho jamaa siasa anaijua.

1) Kasema atatengeneza ajira laki tano kila mwaka; means kwa miaka mitano kutakuwa na ajira 2.5ml hichi ni kweli kabisa hajataka kusema uongo

2) Ataboresha bima ya afya kutoka watoto wa mwaka 1 hadi 10 watakuwa hawalipi hata senti.

3) Wale waliotumbuliwa kwenye vyeti feki watalipwa mafao yao na kama hawamuamini yupo tayari kuingia mkataba. Kwa hizi nondo za huyu jamaa CCM na Chadema mtasubiri sana, labda mngeungana kuweza kumshinda huyu mwamba.

Hatufanyi makosa tena HASHIMU RUNGWE ni chaguo la Watanzania.
 
Mgombea Urais CHAUMMA, Hashim Rungwe akiwa Rais wa Tanzania, siku 20 za kwanza kugawa chakula kwa wanafunzi na wagonjwa.

ITV Tanzania

Ombi langu hata kama ni Watumiaji wakubwa na wazuri wa bange / bangi tuwe Kwanza tunazihakiki kabla ya Kuzivuta ili zisitushushie Hadhi zetu.
 
Hayo ameyasema wakati akihojiwa katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na kituo cha television cha ITV pamoja na radio one streo huku akibainisha kuwa kipaumbele chake na chama chake ni pamoja na chakula kwa wote.

Hashimu Rungwe ametanabaisha pia kuwa kila RAIA wa nchi hii ana haki zote na serikali inapaswa kuhakikisha kuwa anapata chakula na si kujenga madaraja kwani ni mambo ya kawaida.

Amelaani kitendo cha wakurugenzi na watendaji wa kata kuwaondoa wagombea was chama chake katika baadhi ya maeneo na kuitaka tume iwarudishe haraka.
 
Comedian ,

Yaani pale ofisini kwake ndio Garage ya magari yake, ndio makao makuu ya Chama na ndio Ofisi zake za Uwakili.
 


Mgombea wa chama cha CHAUMA ambae ameahidi kutoa ubwabwa mashuleni iwapo atakua Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ameahidi pia kupeleka bahari Dodoma iwapo atachaguliwa kushika nafasi hiyo. Anataka na ndugu zetu Wagogo wapate nafasi ya kuvua samaki bahari ni.
 
Mgombea wa chama cha CHAUMA ambae ameahidi kutoa ubwabwa mashuleni iwapo atakua Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ameahidi pia kupeleka bahari Dodoma iwapo atachaguliwa kushika nafasi hiyo. Anataka na ndugu zetu Wagogo wapate nafasi ya kuvua samaki bahari ni.
Bahari inaweza kuwa ni lugha ya gumbo
But ubwabwa hoja ni nzur inatoa solutions ya matatizo makubwa kama uhaba wa soko la mazao yetu
2.udumavu wa watoto wetu
3.utoro sugu
4.Ataongeza ufanisi wa kazi.

NB
Anahoja cio chattle boy anaetufokea
Kwako Sky Eclat
 
Anaitwa Hashim Rungwe Spunda...
IMG-20200827-WA0004.jpg
IMG-20200830-WA0000.jpg
 
Hashim Rungwe ni genius, ila kuna baadhi ya Watanzania wanampuuza. Hoja zake zote zina mashiko. Bila chakula bora hakuna uhai, hakuna maendeleo.

Ukija kwenye hiyo hoja ya kupeleka Bahari Dodoma, napo kuna point! Wenzetu Waingereza na nchi nyingine zilizoendelea, kitambo walichimba mifereji (Canals) ya kutosha tu kutoka Baharini na kuelekea nchi kavu kwa ajili ya kusafirishia abiria, mizigo, bidhaa mbalimbali, nk. kutoka eneo moja kwenda lingine.

Hivyo badala ya kutegemea njia ya barabara, anga na reli, hii ya kuchimba mifereji (Canals) nayo ingefaa sana. Ingeimarisha hata utalii ndani ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom