Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Watanzania wenzangu,

Baada ya kusikia sera pofu za viongozi wa vyama babaishaji, nimekata shauri kuunga mkono sera ya ubwabwa kwanza ya legendary Hashim Rungwe kwa sababu zifuatazo:

1. Adui aombewi kitu kingine chochote, bali njaa. Unapowapa watanzania ubwabwa maana yake ni kuwafanya marafiki na kuwapa nguvu za kupambania nafsi zao;

2. Msingi mkuu au sababu ya msingi ya mahangaiko yote ya mwanadamu ni kwaajili ya tumbo lake, yaani ubwabwa hivyo ahadi nyingine zote ni sawa sawa na to put a cart before the horse;

3. Ubwabwa ni chakula pendwa zaidi Tanzania (hawsa ubwabwa na maharage) hivyo siyo vibaya tukashughulika na furaha za watu wetu kwa miaka mitano tukasahau stress za barabara, reli na madaraja; na

4. Nashauri legendary aiboreshe sera yake na kuongeza ubwabwa na maharage kwanza na fanta orange ikiwezekana

Huu ni mtazamo wangu, kama unabisha toa wa kwako au andamana.
 
Yap.Mzee Rungwe angalau anatoa sera ya ubwabwa.na ubwabwa ni neno tu kaamua kulitumia ila dhamira kuu ni lishe.watu wapate lishe.
 
Anadai hata yeye anajaza kama vyama vingine.

IMG_20200916_183951.jpg
 
daah aisee watu wengine wanapenda kujichosha! bule ivi izo hela anazo zipoteza kuzunguka cbora angewap wasio jiweza wangemuombea bataka zote kwa mungu!

Hizo hela sio zake , umesahau kuwa vyama vinapewa RUZUKU? Hata CHAUMA wanapata pia; hivyo hizo anazutumia ni kutoka kodi zako!!!
 
Back
Top Bottom