Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Mwamba
 

Attachments

  • IMG-20200831-WA0007.jpg
    IMG-20200831-WA0007.jpg
    28.6 KB · Views: 1
Hivi wewe ukiambiwa nipigie kura ili ule ubwabwa wa bure, mtu huyo anakuchukuliaje?
Nawe kweli utampiga, nawe tukuelewe vipi ?
Wale wanaoahidi kulipa mishahara x2 au watawapa ajira
Sio rushwa? Au wanachukuliaje?.

Tatizo hujaielewa sera yake ya LISHE mashuleni
 
Back
Top Bottom