mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
MjumbeNaaam ndugu mjumbe
Unadanganywaaaa kama hujidanganyi!!Rais Kipenzi cha watu!
Mbona tumewazoea hao hawana jemaHili nalo mnalaumu
Sasa amiri jeshi akililia msiba wiki au mwezi wengine wafanyaje
Dkt MagufuliJP noma katoka msibani kasimama somanga kapewa kuku na mzee mmoja.
Pia akatoa million 5 za ujenzi wa shule ya msingi somanga, Kuna mtoto kaongea nae kampa laki moja.
Pia mzee alitoa Zawadi ya kuku nae kapewa laki, unalala masikini unaamka tajiriView attachment 1521421
Ukimtaja taja tu jua pesa tayari iko kwa mfuko wa shati.Papaa Magufuli
Au unapata uteuziUkimtaja taja tu jua pesa tayari iko kwa mfuko wa shati.
Naam papaa ana kamsemo kake ka 'niite nami nitakuitikia na matatizo yako hakika nitayatatua'.Au unapata uteuzi