Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Hata wewe siku Serikali inataka eneo la nyumba yako kufanyia shughuli zingine zenye manufaa ya Taifa inakujulisha mapema, ikifika wakati waliokupa kama hujaondoka kwa hiyari wanakuondoa kwa nguvu na wanabomoa nyumba yako, lakini hawaji kukuchomea moto. Kumbuka hilo.
Hapa hakuna Serikali iliyohusika, moto ni majanga na inabidi tuwape pole nyingi sana hawa wahanga na tutafute namna ya kuwasaidia kwa hali na mali na si kuliingiza hili jambo kwenye siasa, ni mapema mno.
umejibu kipengele kimoja bidada,,,,twende cha uhamishaj wa masoko