Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

santu05

Member
Dec 2, 2013
12
28
Wakuu,

Nipo eneo la tukio.

Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto.

Habari zaidi zitafuata.

==========
UPDATES:
==========

Moto bado ni mkali, unazidi kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipodhibitiwa mapema utaleta athari kubwa sana.

Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa.

Nguzo za umeme zinaungua pia.

Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.

Chanzo kinadaiwa kuwa ni sehemu ya "Mama Ntilie" (ambao inasemekana huchemsha maharage na kuyaacha usiku ili yaive vizuri)

========
PICHA hizi zimepigwa na mwandishi wa JamiiForums:

attachment.php


attachment.php
IMG-20140612-WA0003.jpg
IMG-20140612-WA0002.jpg
IMG-20140612-WA0001.jpg
IMG-20140612-WA0009.jpg
IMG-20140612-WA0005.jpg
IMG-20140612-WA0005.jpg
IMG-20140612-WA0005.jpg
IMG-20140612-WA0007.jpg


Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
 
wakuu nimetoka Kariakoo napita mitaa ya Karume moto umeshika kasi, njia haipitiki kwa gari imenibidi kuzungukia Halmashauri Ya ILALA
 
No one cares these struggling Tanzanians. Ni hujuma kama ilivyofanywa Mbeya na Moshi miaka ya nyuma.
 
Nimepita hapo muda c mrefu nikashuhudia watu wanatoa balo za nguo ndani ya soko inasikitisha..
 
Back
Top Bottom