Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,034
- 8,378
Wakuu,
Soko la Kawe linatekea kwa moto muda huu, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ambapo moto huo ulizuka majira ya saa sita usiku. Au ndio project kama ilivyokuwa kwenye moto wa Kariakoo, ambao kama sijachanganya mafaili ripoti yakd haijawahi kutoka mpaka wa leo!
Kwa hali ilivyo sidhani kama kuna waliookoa chochote kwa hali hii, kama sauti inavyosikika hapo, Zimamoto wameishiwa maji ikiwa ni saa saba usiku, wameondoka na kwenda kuyatafuta kwengine waje kuzima. Ila wanajeshi si wapo karibu wanaweza kwenda kusaidia kuzima fasta? Au ndio wote wako kwa mama?
Wa Malawi, aliyekaribu atupatie updates.
Pia soma Soko Singida Linawaka Moto Muda Huu