Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Baada ya kufanikiwa kuwaondoa wamachinga pale Mwenge kwa kutumia mbinu mpya, kali na ya kisasa kabisa.., naona mmefanikiwa tena kuwaondoa pale Karume.., tena kwa kutumia mbinu iliyoboreshwa na ya uhakika zaidi kuliko hata ile iliyotumika pale Mwenge. Hivi ndivyo serikali inabidi iwe.., mnatakiwe muendelee kuwa wabunifu zaidi especially kwa ile kero ya muda mrefu kabisa pale ubungo ambapo sasa pamekuwa kama gulio la kule Igunga considering lile ni lango la jiji. Kuweni wabunifu zaidi ili tuone mafanikio pale ubungo.., safi sana!

there's something wrong with your brain, how comes supporting this satanic scene?
 
Hivi kama ni mbinu za serikali za kuwahamisha wafanyabiashara eneo hilo,kwa hasara walioipata hao wafanyabiashara najiuliza hivi huko serikalini ni nani atabeba hii dhambi kati ya hao wanaoitwa serikali?
 
wonders shall never end, cdhani kama serikali can do that
 
Hata wewe siku Serikali inataka eneo la nyumba yako kufanyia shughuli zingine zenye manufaa ya Taifa inakujulisha mapema, ikifika wakati waliokupa kama hujaondoka kwa hiyari wanakuondoa kwa nguvu na wanabomoa nyumba yako, lakini hawaji kukuchomea moto. Kumbuka hilo.

Hapa hakuna Serikali iliyohusika, moto ni majanga na inabidi tuwape pole nyingi sana hawa wahanga na tutafute namna ya kuwasaidia kwa hali na mali na si kuliingiza hili jambo kwenye siasa, ni mapema mno.

Nmekuelewa unafaaa xana manake watu wanapenda lawama
 
Habari wana jf,soko la uhuru maarufu kama mchikichini au karume limelipotiwa kuungua kwa moto ambao ulizuka ghafla,mashuhuda wa tukio hilo wamesema huenda moto huo umesababishwa na shock ya umeme...kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia vyombo vya habari.
 
masikini wameshaongezwa ndani ya siku moja, mitaji ya watu imeshakufa, ajira za vijana zimepotea..

tutegemee kupata mbwa mwitu wa ziada kuanzia leo...

serikali haina mipango yoyote ya kutengeneza fursa za vijana kujiajiri, kwa janga kama la karume, hakika pigo hili litatesa familia nyingi sana zilizokuwa zikitegemea chochote kutoka pale..

mpaka sasa data zinaonesha kuwa mkoa wa Dar es salaam ndio mkoa wenye gharama kubwa sana za maisha kuliko mikoa yote Tanzania, kosa moja tu linakurudisha nyuma hatua mia.

kwa hili kwa kweli kama serikali ina mkono wake, itakuwa ishajichimbia kaburi.
 
wonders shall never end, cdhani kama serikali can do that
Hhaahahahahahahahahahahahahahahah..!!!!!!!! Kamuulize docta ulimboka akuhadithie...!!! Alifanya ungese uliosababisha vifo vya mamia ya walipa kodi walalahoi mahospitalini.., nakwambia walimyuka kisawasawa.., harudii tene yule..!
 
Sasa kama wanatomezwa machinga, bodaboda, mama ntilie sijui nini, ili watoto wao wa ocupy hizo premises za bishara, wanyonge wataishia wapi??
Watu woote tushirikiane kutokomeza hii Serikali dhalimu ya MaCCM kwenye sanduku la kura!!
Muda ndio huu!!
 
serikali ina beef na wadogo zake THE BIG SHOW toka "ntwara", ukichukulia majority yao ndio wafanyabiashara wa soko la karume.lengo ni kuhakikisha 2015 wanaichagua ccm au warudi kusini kuendelea na kilimo cha zao la korosho.chezea magamba wewe.

nimeongea kisiasa zaidi so mniwie radhi wadau.
 
Last edited by a moderator:
MARKYAO umesahau Mwz mkuu machinga wanatimuliwa ovyo mji wote na mabomu, majanga!!
MaCCM wanachekelea!!
 
Last edited by a moderator:
ni kweli limeungu maana cjatoshelezwa na hu uvmi kitaa kuwa limeungua lote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom