Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

kwa hiyo ndo wanahamishwa kijanja,poleni sana,ila na nyie mliambiwa muhame hamkusikia.Wahenga walinena Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
 
Daaa, Paoleni Machinga. Je hii nini maana? Ni hujuma au bahati mbaya? Je, Zimamoto wamefika kwa wakati eneo la tukio? Je Hii ya Machinga wa mwanza kukimbizwa na FFU mwanza inauhusiano na machinga wa Dar? Je, ni kweli machinga hawataki kuhamia maeneo waliyopangIwa ambayo yenye miundombinu safi yote na panafikika?
 
Shughuli ilianzia mwanza kwa kichapo,dar Soko linaungua.Poleni Sana wafanyabiashara
 
Ni taarifa mbaya sana kwa Vijana wa Dar es Salaam. Mitaji yao imeteketea, sijui watarudishaje
Marejesho.
Ova
 
Dah, masikini wamachinga na mitaji yao

Hundredth of familie are at stake
 
watu wamewekeza pesa za kutosha, hakika tutarajie na taarifa za watu kujiua kutokana na hasara za hapo.
 
Mungu wangu!dah!poleni wajasiriamali wote wa Karume na wateja wao,nikiwemo,dah!ntafanyia wapi shopping ya madogo dah!ntapata wapi madaluga ya kutesea ndondo za kitaa huku jamani?!
 
Chezo hilo. Usilo lijua ni kama usiku wa giza, tena giza nene haswa !! Shit doesn't make sense at all. Anyway poleni sana wahanga. Tujipange upya tu, hamna jinsi. Dah
 
Ndugu zangu wasiopungua 6 wana mabanda hapo. Ee Mungu waepushe na hasara hii manake zile familia zao sijui zitaishije DSM
 
Back
Top Bottom