Na hii lazima itakuwa imefanywa na CCM ili ipauzemaccm yanachojua baada ya hapo anawekwa mwekezaji c lengo lao limetimia.
unathink sio?!? Unazani upo sahihi sana kwa hapo....mbona co tandika iwe safisha jiji na iwe karume...tumia akili msilete chuki zisizokuwepo
Poleni,ila nadhani ni moja ya strateji za safisha jiji. Palikua kama Kibera slums ya kule Kenya!. Hamieni soko jipya la Machinga complex.
Hili jambo halihitaji siasa. Kuingiza siasa hapa inadhihirisha ni namna gani watu walivyo na akili za panzi.
Hilo ni chezo la muda mrefu,na huko Machinga complex haendi mtu
Ndugu zangu wasiopungua 6 wana mabanda hapo. Ee Mungu waepushe na hasara hii manake zile familia zao sijui zitaishije DSM
hujuma tu.wametafta namna ya kuwahamisha wameshindwa wakalitia kiberiti.magamba bana
Majanga!
Poleni sana waathirika. Ni wakati muafaka sasa mjipange ki leo zaidi na si kurundikana kama vile nchi imekosa sehemu za kufanyia biashara kimpangilio.
duh jaman soko langu la viatu
jaman Niko hapa na mtu
kaniambia hii ishu ilikuwa imeshapangwa na serikal
jaman Niko hapa na mtu
kaniambia hii ishu ilikuwa imeshapangwa na serikal
jaman Niko hapa na mtu
kaniambia hii ishu ilikuwa imeshapangwa na serikal
Daa!! Vijana wengi wamepata pigo sana...poleni sana.