acha matusi basi, huwezi kutoa hoja zako kistaarabu!!Hakuna boksi hapo wala pakacha, janga la moto limetokea hata haujazimika mnakuja na siasa majitaka, yaani hata waliounguliwa kwenu ni chambo cha siasa majitaka, hamna hata ubinaadam kiduchu?
Kuna punguani mwingine, sijui ilikuwa wewe? hata mvua zilizotokea akazihusisha na CCM, eti kwanini hawakuzizuwia mapema. Huko ndio kufikiri nje ya boksi?
acha matusi basi, huwezi kutoa hoja zako kistaarabu!!
Mimi nimewahi kulalamikiwa eti nimemtukana mtu kwa kumwita mpuuzi na aliyelivalia njuga hilo swala ni mwana JF mzoefu, kumbe ni heri ningemwita punguani...thanx to FaizaFoxy...!Punguani ni tusi la kikwenu? au Kiswahili kimekupiga chenga?
Anaweza Akakaa Nyuma Na Akapost Kwa Kutumia Simu, Kilaza We!
Punguani ni tusi la kikwenu? au Kiswahili kimekupiga chenga?
oooh! samahani mkuu, mimi sikujua kwamba wewe ni punguani siku hizi!
Poleni sana wahanga. Ila nitawashangaa sana kama mtaendelea kuipigia kura ccm.