Soko la sabasaba Mwanza lawaka moto

Soko la sabasaba Mwanza lawaka moto

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
442
Reaction score
1,091
Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika,

Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026 umefanikiwa kudhibitiwa kwa jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na wananchi.

Tukio hilo la moto limetokea ikiwa imepita siku moja tangu Soko la Machinga Complex la jijini Dodoma nalo kuwaka moto na kusababisha hasara kwa baadhi ya wafanyabiashara. Moto huo ulitokeausiku wa kuamkia jana Jumatatu.

Katika tukio jingine ambao chanzo chake hakijafahamika pia, moto uliteketeza vibanda vya biashara zaidi ya 14 katika eneo la Marangu Mtoni, kata ya Marangu Mashariki, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi alisema moto huo ulitokea Septemba 19,2026.

Hii ni mara ya pili moto kutokea katika Soko la Mbao Mwanza ndani ya takribani kipindi cha mwaka mmoja na nusu.

​
 
Hii mioto inafikirisha sana, haya ni maamuzi tu ya watu kuamua kuchoma kwa sababu zao. Ipo mioto inayokea kwa uzembe au hitilafu fulani hivi za umeme hapo haifikirishi sana
 
Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika,

Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026 umefanikiwa kudhibitiwa kwa jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na wananchi.

Tukio hilo la moto limetokea ikiwa imepita siku moja tangu Soko la Machinga Complex la jijini Dodoma nalo kuwaka moto na kusababisha hasara kwa baadhi ya wafanyabiashara. Moto huo ulitokeausiku wa kuamkia jana Jumatatu.

Katika tukio jingine ambao chanzo chake hakijafahamika pia, moto uliteketeza vibanda vya biashara zaidi ya 14 katika eneo la Marangu Mtoni, kata ya Marangu Mashariki, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi alisema moto huo ulitokea Septemba 19,2026.

Hii ni mara ya pili moto kutokea katika Soko la Mbao Mwanza ndani ya takribani kipindi cha mwaka mmoja na nusu.
View attachment 3675525
Kwamba hii ishu ya masoko ni bahati mbaya, nature, au ni kazi za watu?
 
ok.🐒
 
Haya mambo yameshakuwa kama fasheni sasa hivi, hii hali inakatisha sana tamaa kwa raia wenye mitaji midogo wanaofanya uwekezaji kwenye biashara za ndani. Usalama hakuna
 
Linalofuata ni kariakoo na michenzani zanzibar.Ndo tumeanza kukinukisha hivyo.
Zanzibar itoe, wameambiwa wasafishe miji ni michafu Dodoma tayari, Dar karume tayari, Mwanza tayari linafuata soko la Mwanjelwa/SIDO Mbeya never miss.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom