Naimagine majibu:
Tumetumia nguvu, fedha na jitihada kubwa kuleta maisha bora kwa kila mmachinga kwa kuwapa Machinga Complex, kisha vijana wanakuwa wakorofi! Haiwezekani! "If u can't convince them, confuse them" now wameamka wamechanganyikiwa. Next move ni kuwahamishia wote Machinga Complex, kesho jiji kusafisha eneo, kufunga utepe mwekundu na kuweka zuio la "Hairuhusiwi Kujenga na Kufanya Biashara ama Mkusanyiko" kwa sababu za kiusalama. Tutatafuta mwekezaji aweke kitega uchumi ili tupendezeshe jiji.
Wale vijana hawazidi 500 pale, so tutawapa 500,000 kila mmoja ili "kuwapunguzia makali ya marejesho" na kutumia kama 250ml, kisha tutapata mwekezaji atakayelipa serikali 1bn, na 2bn cha juu kwa facilitators wa huu mkakati, business closed!!!