Serikali sikivu ya CCM inajipanga iwe inazuia mioto mikali kama hiyo! Tunalipishwa ada za zima moto ili majanga kama haya yadhibitiwe lakini wapi! Miundo mbinu duni ya Jiji itatumaliza. Sijui kama kuna Fire Hydrant yoyote inafanya kazi katika jiji hili na hata kama ni nzima je maji yapo?
Wataalamu wapo wapo tu hali mradi siku zipite tu; tunaenda shule ili nini? Ili tukapige rushwa tuendeshe magari ya kifahari au tutumie elimu tuliyopata kuboresha maisha ya mwananchi?
Wataalamu wapo wapo tu hali mradi siku zipite tu; tunaenda shule ili nini? Ili tukapige rushwa tuendeshe magari ya kifahari au tutumie elimu tuliyopata kuboresha maisha ya mwananchi?